Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaomba Beer zizidi kupanda Bei

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlachake, Feb 7, 2012.

  1. Mlachake

    Mlachake JF-Expert Member

    #1
    Feb 7, 2012
    Joined: Oct 13, 2009
    Messages: 2,586
    Likes Received: 162
    Trophy Points: 160
    Hapa nilipo Minimum price ya beer ni 1,800/=.

    I gues mwezi wa Saba baada ya Budget bei hii lazima ifike 2,000/= and above.

    This will really make us think twice on Beer budget.
     
  2. L

    LAT JF-Expert Member

    #2
    Feb 7, 2012
    Joined: Nov 20, 2010
    Messages: 4,524
    Likes Received: 41
    Trophy Points: 0
    drink beer save water
     
  3. Mphamvu

    Mphamvu JF-Expert Member

    #3
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 28, 2011
    Messages: 10,393
    Likes Received: 577
    Trophy Points: 280
    tema mate chini ndugu yangu.
    Bia ndo inaendesha uchumi wa nchi...
     
  4. Mlachake

    Mlachake JF-Expert Member

    #4
    Feb 7, 2012
    Joined: Oct 13, 2009
    Messages: 2,586
    Likes Received: 162
    Trophy Points: 160
    mkuu siku hizi hata kumpa m2 ofa unafikiria mara mbili
     
  5. Mlachake

    Mlachake JF-Expert Member

    #5
    Feb 7, 2012
    Joined: Oct 13, 2009
    Messages: 2,586
    Likes Received: 162
    Trophy Points: 160
    Mphamvu, Nakubaliana na wewe 100% as the statistics says.

    Do you mean tukipunguza unywaji uchumi utadorora?
     
  6. vivian

    vivian JF-Expert Member

    #6
    Feb 7, 2012
    Joined: Nov 2, 2009
    Messages: 1,697
    Likes Received: 9
    Trophy Points: 135
    kwani savana nazo zimepanda bei?
     
  7. platozoom

    platozoom JF-Expert Member

    #7
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 24, 2012
    Messages: 6,896
    Likes Received: 1,542
    Trophy Points: 280
    Anafanya masihara mabaya sana.Naweza nikaharibu keyboard kwa hasira nilzonazo,ole wako nikuone corner bar
     
  8. IGWE

    IGWE JF-Expert Member

    #8
    Feb 7, 2012
    Joined: Feb 3, 2011
    Messages: 7,545
    Likes Received: 899
    Trophy Points: 280
    nafikiri hizo bado,...ila tutapambana mpaka kieleweke_kama vip nahamia kwenye viroba.
     
  9. Preta

    Preta JF-Expert Member

    #9
    Feb 7, 2012
    Joined: Nov 28, 2009
    Messages: 23,796
    Likes Received: 2,197
    Trophy Points: 280
    kwani nini bana....tena tutapunguza na vitambi....
     
  10. Mlachake

    Mlachake JF-Expert Member

    #10
    Feb 7, 2012
    Joined: Oct 13, 2009
    Messages: 2,586
    Likes Received: 162
    Trophy Points: 160
    Kona bar kwani Biashara yao kubwa pale ni nini?
     
  11. Mphamvu

    Mphamvu JF-Expert Member

    #11
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 28, 2011
    Messages: 10,393
    Likes Received: 577
    Trophy Points: 280
    nyuchi,
    kwa ngeli ya U-ZI, huo ni wingi wa uchi.
     
  12. Mphamvu

    Mphamvu JF-Expert Member

    #12
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 28, 2011
    Messages: 10,393
    Likes Received: 577
    Trophy Points: 280
    huo ndio ukweli kwa sasa.
    I don't wanna take it seriously, lakini maneno ya JKN yanatimia sasa, alisema serikali ya wala rushwa haikusanyi kodi, inapambana na walipakodi wadogo huku ikiacha mianya kwa walipakodi wakubwa kukwepa kodi.
    Huwezi kuwa na taifa ambalo limewekezwa kila mahala, mpaka Ikulu, halafu utegemee walevi na wavuta sigara wakuendeshee nchi.
    Kiukweli yamenifika kooni, walevi na wavutaji tunaonewa sana humu nchini, kila mwaka wa fedha kipaumbele ni kuongeza kodi ya bia na sigara...
    We can't take this no more fellas,
    GLASS DOWN, SAY YES TO LOCAL BREW!
     
  13. Vinci

    Vinci JF-Expert Member

    #13
    Feb 7, 2012
    Joined: Jul 6, 2009
    Messages: 2,520
    Likes Received: 22
    Trophy Points: 135
    Viroba navyo zimepanda bei pia....
     
  14. Mphamvu

    Mphamvu JF-Expert Member

    #14
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 28, 2011
    Messages: 10,393
    Likes Received: 577
    Trophy Points: 280
    ndio.
    Kile cha jero sasa hivi Sh. 700, kile cha buku kinauzwa buku sh. mbili,
    konyagi ndogo 3500, mzinga 7000, phantom 12000..
    Hiyo ndio bei yetu huku kajambanani, sijui huko duniani bei zikoje?
     
  15. Preta

    Preta JF-Expert Member

    #15
    Feb 7, 2012
    Joined: Nov 28, 2009
    Messages: 23,796
    Likes Received: 2,197
    Trophy Points: 280
    acha bana....kwani vimekuwa sh ngapi..? lakini haina noma wala nini...watu wa Chuga tuna burudani nyingi....bora upate stim...ndo la muhimu....
     
  16. vivian

    vivian JF-Expert Member

    #16
    Feb 7, 2012
    Joined: Nov 2, 2009
    Messages: 1,697
    Likes Received: 9
    Trophy Points: 135
    nasikia na gazeti la Mwananchi sasa hivi ni Tshs 800
     
  17. vivian

    vivian JF-Expert Member

    #17
    Feb 7, 2012
    Joined: Nov 2, 2009
    Messages: 1,697
    Likes Received: 9
    Trophy Points: 135
    gesi nasikia nayo imepanda sana
     
  18. platozoom

    platozoom JF-Expert Member

    #18
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 24, 2012
    Messages: 6,896
    Likes Received: 1,542
    Trophy Points: 280
    Kajibu Mphavu...unafikiri bila ya soni ya lager utaenda pale
     
  19. platozoom

    platozoom JF-Expert Member

    #19
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 24, 2012
    Messages: 6,896
    Likes Received: 1,542
    Trophy Points: 280
    Inaonekana wewe mdau haswa, utaathrika sana mwaka huu...hakyanani.
     
  20. Mphamvu

    Mphamvu JF-Expert Member

    #20
    Feb 7, 2012
    Joined: Jan 28, 2011
    Messages: 10,393
    Likes Received: 577
    Trophy Points: 280
    kakuambia nani?
    Mpofuka uzeeni hapotei njia wewe. Nina mpango wa kuhamisha udau kwenye local brew, sikubali kushindwa!
     
Loading...