Tunaokula kwa wapemba pale mabibo hostel.

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Jamani habari zenu? Kwa muda mrefu nimekua nikila chakula maeneo ya cafeteria iliyoko ndani ya mabibo hostel. Lakini niliamua kuacha kabisa kula cafeteria baada ya siku moja kuona paka wakilambalamba sahani za chakula mezani.

Baada ya hapo nikahamia nje pale kwa wapemba. Kinachonipa shida ni kwamba nikila hapo kwa wapemba tumbo hua linajaa gesi kwa muda mrefu. Ndipo siku moja nikaambiwa na mtu mmoja kua kuna uwezekano hawa jamaa hua wanatia hamira ktk chakula.

Sasa kama hali ndo hii mimi nawashauri wananchi wenzangu tuwakemee hawa jamaa waache kutuwekea hamira kwenye chakula wanatuumiza kiafya.

Kwa sasa natafuta sehemu nyingine ya kula ila tatizo mitaa ya huku mabibo hostel hakuna mkahawa wenye kujali afya za walaji japo kwa kiwango cha mamantilie, yaani uchafu, vyakula ni kama unakula mataputapu, kauli zao mbovu, nk.

Kwa hiyo nawaombeni sana wateja tunaojazana kwa wapemba kila siku tujali afya zetu kwa kushirikiana kuwakemea.
 
simpo.
Kuwa unapika chakula chako mwenyewe, no problem.
Bai ze wei mi nala pale kila uchao.
 
mshalishwa hamira nyie.

Ila nina allergy na kula kwa wapemba na wasomali mmmh

We acha tu ndugu yangu sasa ntakula wapi? Cafeteria kwenyewe ndo hivyo mipaka inalambalamba sahani za chakula halafu nami sipatani na paka kabisa. Nikimwona kama nakula natapika yaani nina aleji na paka. Wapemba nao hamira, aghrr!
 
Sijakuelewa,umesema kuna mtu kakuambia inawezekana wanatia hamira.ww ni msomi, ulimwengu wa sasa ni wa fact na sio wa tetesi.njoo na ushahidi kwamba wapemba wanatia hamira kwenye chakula na sio blah blah,achaneni na mambo ya kusadikika.
 
Jamani habari zenu? Kwa muda mrefu nimekua nikila chakula maeneo ya cafeteria iliyoko ndani ya mabibo hostel. Lakini niliamua kuacha kabisa kula cafeteria baada ya siku moja kuona paka wakilambalamba sahani za chakula mezani.

Baada ya hapo nikahamia nje pale kwa wapemba. Kinachonipa shida ni kwamba nikila hapo kwa wapemba tumbo hua linajaa gesi kwa muda mrefu. Ndipo siku moja nikaambiwa na mtu mmoja kua kuna uwezekano hawa jamaa hua wanatia hamira ktk chakula.

Sasa kama hali ndo hii mimi nawashauri wananchi wenzangu tuwakemee hawa jamaa waache kutuwekea hamira kwenye chakula wanatuumiza kiafya.

Kwa sasa natafuta sehemu nyingine ya kula ila tatizo mitaa ya huku mabibo hostel hakuna mkahawa wenye kujali afya za walaji japo kwa kiwango cha mamantilie, yaani uchafu, vyakula ni kama unakula mataputapu, kauli zao mbovu, nk.

Kwa hiyo nawaombeni sana wateja tunaojazana kwa wapemba kila siku tujali afya zetu kwa kushirikiana kuwakemea.
Nenda UDASA pale unapata msosi/chakula bomba kabisa
 
Back
Top Bottom