Tunamtaka nape nauye aje humu ndani aeleze

Nivizuri nape aje humu aeleze alicho sema kwamba CCM watashinda kwa Kishindo

Komandoo, ulitegemea Nape na nafasi yake kwenye chama chake asemeje? Asingeweza akasema lolote kuacha alilosema kwa sababu kama unavyojua, kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Hata kama angelikuwa na uhakika wa kushindwa lazima angewajibika kusema mategemeo ya chama chake ni ushindi. Mimi pamoja na kwamba siwasupport wana Magamba sioni ubaya wa alichokisema. Tumeshinda vizuri na afadhali tuwe graceful kwenye ushindi tuangalie mbele 2015. Tunawapongeza wote Wameru kwa kutuongezea nguvu mjengoni.
 
Ukishindana na kichaa utaishia kuonekana mwehu buree,cha msingi aibu zishampata Za kutosha yeye ccm yake na uyo Sioi wao
Wasubirie sasa kuona suti mpya ikiwekwa kiraka inakuaje
 
Back
Top Bottom