Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

Jimbo la Ludewa kabla ya uchaguzi wa juzi lilikuwa chini ya Pro. Mwalyosi kama mmbunge,
naweza kusema Deo kapata ubunge kwa njia ya rushwa kwa sababu miaka miwili kabla kabla ya uchaguzi alianza kuto misaada ya aina mbalimbali sehem na kwa watu tofauti tofauti katika jimbo na ni misaada ya gharama kubwa wakati ndugu zake wengi hawana uwezo kwa mfano mdogo wake Majuto, Amosi, Eliza wapo tu mtaani ameweza kumsaidia mdogo wake mmoja tu anaitwa Philipo ambaye kwa sasa ni lecturer Mkwawa.
nasema amepata kwa rushwa kwa sababu kama anamapenzi ya kusaidia angeaanza kuwasaidia wadogo zake kwanza na hata hali ya wazazi wake sio nzuri.

mkuu hata mi huwa nawashangaa hawa viongozi kwa misaada discriminative,mfano,nlitoa issue ya Salva Rweyemamu,ukiona ndugu zake walivo utalia chozi. Nlishawahi kuandhka Jf kuwa hawa watu hawana misaada ya kijamii labda tu kisiasa kama si masharti ya sheihk Yahya. Mkuu fuatilia mzee wa Bwn Salva Rweyemamu,anaitwa mzee Francis Kadogo,na mke wake Bernadeta Kadogo,nduguze, bwn Godwin, nicolus, Cornel na wengineo,wote wanaishi kwa ufukara na wanauza gongo ili wapate japo ndizi na maharage ktk kijiji cha buganguzi. Kwa kweli nashindwa kuwaelewa wanasiasa ambao wana maisha bora wakati ndugu zao wanakufa njaa. Sio kwamba nì hawa tu,wapo wengi waliokimya lakini familia zinalia. PLZ CHARITY BEGINS AT HOME.
 
NDUGU ZANGU KI UKWELI HIYO GARI ANAYOSEMA YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MANDA NI AIBU TUPU. MIMI NI KWETU HUKO NA NIMETOKA JUZI TU HUKO HILO GARI ALILIOPELEKA NI CHAKAVU SI KAWAIDA NI LIMEPIGWA RANGI TU ,KWA KUTUMIA UELEWA MDOGO WA WANANCHI KUWA NI GARI JIPYA SI KWELI KAWACHAKACHUA tu wamanda. na kwa njia za kule hata haliwezi dumu
 
something is better than nothing, besides, one bird in hand is worth than nine in the bush.
 
Back
Top Bottom