Tunamkumbuka Mzee Rashid M. Kawawa - Simba wa Vita

Marehemu alitakiwa Kuzikwa asubuhi shughuli imekamatwa na wa G sasa ni aibu tupu!

Halafu iweje watuambie kuaga Marehemu saa 7 mchana ina maana walisahau kuwa leo ni Ijumaa?
 
Waislamu tayari mshazua jambo hapo!

Acheni mengine yapite basi!
GT, mwache mzee wa watu hata apumzishwe ardhini ndo uanze hayo malalamiko na kashfa za kuungaunga na pattex!
 
Akili majitaka.

Naona mleta thread U-ATHEIST ulimshinda sasa amerejea mwenyewe kwenye mstari. Nways kuishiwa hoja kupo kwa aina anuai. Ku-parade maiti kwa hiyo kunafanywa na Wakristu si ndio? Na rais ni Mkristu si ndio, na wanafamilia ni wakristu si ndio?
 
Like it or NOT Kawawa was a "LION of WAR"....Loyal to Mwalimu and Tanzania... as her First Prime Minister... He deserves to lay in state for final respect... na Nchi haina Dini!!! so are the procedures and processes!!
 
..Jumbe ameshatamka kwamba hataki maziko ya kitaifa.

..rekodi ya Kawawa, iwe mbaya au nzuri, iko palepale hata kama angebadili dini.

..kuaga mwili ni kuanzia saa 7 mchana na kuendelea. kwa msingi huo muda wa kuswali upo. vilevile wa-Islamu naelewa wana utaratibu wa "kulipa" swala ikiwa wali-miss swala yoyote ile.

..maziko yanafanyika Jumamosi, je Wasabato nao walalamike kwamba kiongozi waliyempenda anazikwa siku ya sabato?

NB:

..nchi hii ni imejaa Wakristo wenye wake zaidi ya mmoja, na Waislamu ambao pombe ni jadi na mila yao. mazingira hayo ndiyo yametuwezesha kutokuwa na mifarakano ya kidini kwa kipindi chote hiki.

..tuepukane na Ma-Fundamentalist wa Kikristo na Kiislamu ili amani yetu idumu.
 
Marehemu alitakiwa Kuzikwa asubuhi shughuli imekamatwa na wa G sasa ni aibu tupu!


Halafu iweje watuambie kuaga Marehemu saa 7 mchana ina maana walisahau kuwa leo ni Ijumaa?

GT, wa G ni nani?. kuaga mwili ni saa 7-12 jioni hii, hivyo waswali waliswali na kuja kuaga. Watu waliongezeka kadri muda ulivyokwenda.
 
GT, wa G ni nani?. kuaga mwili ni saa 7-12 jioni hii, hivyo waswali waliswali na kuja kuaga. Watu waliongezeka kadri muda ulivyokwenda.

Unashangaa ?? hiyo ni lugha ya mafundamentalist wakimaanisha Wagalatia, wafuasi wa Masiha.
 
Nyerere+1.jpg


Rafiki yake wa Karibu - A rare picture!!
Superman,
How can I get this picture? It would look nice on my wall.
 
In the wake of hii ya kutaka kumtakasa Kawawa kama shujaa vile vile si vibaya tukakumbusha jinsi alivyokuwa LOYAL kwa Mwalimu mpaka akataka kubadili dini awe Mkristo kama Nyerere.

Na mwalimu kwa kujua kuwa Kawawa has aloways been loyal kwake akamwambia 'huna haja ya kubadili dini kuwa Mkristo ndio uonekane kuwa ni Mwaminifu'

Naam huyo ndiye al Marhum Bwana Rashidi Mfaume Kawawa ambaye alikuwa mume wa Mama Sofia Kawawa.

Kama kama hiyo haitoshi watawala wameamua kuwa time ya kuswali Sala ya Ijumaa leo ndio twende kuuaga mwili wa mzee Kawawa!

Na kutwa nzima wameamua kumparade kama walivyomfanyia Mwalimu bila kuangalia sensitivities kuwa Marehemu kama ni muislam na kafariki katika mazingira yasio na utata basi azikwe mara moja. If anything ilitakiwa leo watu wana fanya Khitma lakini wapi!





Mwenyezi Mungu amlaze pale anapostahili.

kawawa1.jpg

Hata kuzikwa hajazikwa mmeshaanza kumzushia mambo Mzee wa watu! Hebu mwacheni apumzike kwa amani! Kama hamna cha kuandika wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kuzusha uwongo wa hali ya juu.
 
Nilisema jana (nilimwambia Bluray) wazushi wako wengi humu. Na nilipatia!!!
Nilitokea kumwamini sana huyu GT, lakini kwa habari hii ni scrap!

How come unaanza kuweka mbele udini na kuita watu wagalatia, ulitaka wakristu wabaguliwe wasisogee?

Wewe ni muislamu kuliko waislamu woote, pamoja na mashekhe waliosoma visomo pale?

Ponder the points before going public!
 
Kawawa nusura abadili dini?
Ulikuwapo au alikutonya?
This thread is bordering on filfthy views
 
..MUNGU amlaze mahali pema Peponi Mzee wetu Rashidi Mfaume Kawawa "Simba wa Vita."
 
Superman,
How can I get this picture? It would look nice on my wall.

Jasusi;

Henu jaribu "Right Click" kwenye hiyo picha kisha "Save As" . . . . jaribu kusave kwenye flash disk.

Nadhani ukifanikiwa unaweza kuprint kwenye gloss papers au Photo Studio.
 
Binafsi huwa sioni kama kuna tatizo kubwa la kuweza kuondoa sifa anazostahili kuzipata mzee Kawawa. Cha msingi ni kwamba alithubutu kutenda kwa maslahi ya wengi si kwa maslahi yake binafsi kama tunavyoona yanayotendeka kwa viongozi wetu wa sasa. Kama pesa zilikopwa kwa shughuli za kichama nadhani hizi ziliwafikia watanzania wengi mno kwa wakati huo. Kwa kuongeza tu ni kwamba sioni kwa nini Watanzania tumependa kulaumu hata fursa zinazowafanya watu wa chini wanufaike na rasilimali au keki ya nchi. ninavyofahamu mimi Chama chochote cha siasa ni mkusanyiko wa kundi kubwa sana la watu kama kuna pesa zimetumika kwa kundi hilo ni jambo la kheri kuliko kuziacha zikiishia mifukoni mwa mabwana wakubwa au kuja kuzidamp huku Ulaya. Kawawa atabaki kuwa kiongozi anayestahili kuenziwa kwa ubora na mchango wake katika taifa la Tanzania. Kwa ufupi jaribu pia kuhoji kwa kuangalia dhamira iliyomsukuma kufanya hivyo je sawa na kile kinachoitwa sasa ufisadi bila shaka hapana tena hapana kabisaaaaaaaaaaaaaa. Ni makosa ya kimfumo zaidi si yeye. lakini kama kuna mwenye sifa hasi zingine anaweza kuzitaja tuzifahamu
 
..Jumbe ameshatamka kwamba hataki maziko ya kitaifa.


Kuhusu Jumbe:

Mindhali Mzee Jumbe alishakataa hii orgy ya kuwaparade wafu kwenye MaTV and so on then his wishes should be respected.




..rekodi ya Kawawa, iwe mbaya au nzuri, iko palepale hata kama angebadili dini.

Ndio maana nikasema kuwa if anything huoni kama hii loyalty aliyoamua kumpa Nyerere was abit OVER THE TOP? i mean Kawawa kubadili dini kumfuata Nyerere...lakini having said that nakubaliana kuwa rekodi yake Kawawa na ile ya Mkewe Mama Sofia Iko pale pale...SWADAKTA kabisa.


..kuaga mwili ni kuanzia saa 7 mchana na kuendelea. kwa msingi huo muda wa kuswali upo. vilevile wa-Islamu naelewa wana utaratibu wa "kulipa" swala ikiwa wali-miss swala yoyote ile.


Sasa naona unaingia kwenye territory ambayo hata hao waliokupa THANKS inaelekea hawaijui.Lakini je waweza kujibu maswali yafuatayo?

1) Nani kawambia unaweza kulipia SWALA YA IJUMAA?

2) Kama ni Hadhithi je ni hadhithi gani, ilipokelewa na nani na tafadhali tuletee Insadi yake iliyokamilika

3) Kama ni Aya je ni aya gani, sura gani na ilipokelewa wapi?

4) Kama ni Schoalr then si vibaya ukatuletea jina au majina yao.




..maziko yanafanyika Jumamosi, je Wasabato nao walalamike kwamba kiongozi waliyempenda anazikwa siku ya sabato?


Unfortunately Mzee Kawawa hakuwa Msabato bali alikuwa ni MUISLAM ambayo alikuwa akiswali Ijumaa kama waislam wengine na pengine kama ungeelewa significance ya siku ya Ijumaa kwa waislam then sidhani kama ungetaka kuleta hoja yako ambayo haisimami kwenye hili.


Zaidi ya yote hayo, Kawawa ni musilam ambaye ali happen just to be a politician na kiongozi lakini pia hakukana dini yake na kwa misingi ya Dini yale alitakiwa keshazikwa leo badala ya hii ORGY ya kumsanifu mbele ya kandamsi the whole day and night bila sababu ya msingi.


Wasabato in this case inabidi waachie waislam walimalize kiislam na wao wakiwa na mfu wao wataamua kufuata wenyewe misingi ya Kisabato kumzika wanavyotaka.


NB:

..nchi hii ni imejaa Wakristo wenye wake zaidi ya mmoja, na Waislamu ambao pombe ni jadi na mila yao. mazingira hayo ndiyo yametuwezesha kutokuwa na mifarakano ya kidini kwa kipindi chote hiki.

Mfarakano upi unaozungumzia wewe hapo?

Issue ni kuwa waandazi hawakuangalia religious sensitivity na in this case ni ya waislam kuhusu Marehemu Mzee kawawa sasa udini uko wapi hapo?



..tuepukane na Ma-Fundamentalist wa Kikristo na Kiislamu ili amani yetu idumu.
[/QUOTE]


SIjakuelewa what exactly do you mean by Fundamentalists na how did it come into this discussion?
 

****
Waliokaa toka kushoto:

"Simjui", Joel Bendera, Jeff Hudson, Rashid Kawawa, Charles Boniface, Samuel Kopa, "Simjui".

Waliosimama katikati toka kushoto:
Hussein Ngurungu, "Simjui", Peter Tino, "Simjui", Athuman Juma "Chama", "Simjui", Abeid Mziba, "Simjui", "Simjui".

Waliosimama nyuma toka kushoto:
Octavian Mrope, "Simjui", Zamoyoni Mogella, Salum Kiwelu, "Simjui", Ahmed Amasha, Raphael Paul, Celestine "Sikinde" Mbunga, "Simjui".
****

Wakuu enzi hizo nilikuwa sikosi CCM Kirumba. Mwingine anisaidie wale wote nilioandika "Simjui". Hii ilikuwa ni Taifa Stars ambayo ilichanganya na wazanzibar kutoka KMKM, Kikwajuni, Small Simba ambazo huku bara hatukuwa tukiwafahamu sana.
 
Wakuu picha hii imenikumbusha mbali sana, inanipa matumaini ingawa hawa watu hawapo na sisi. Nimewajua watatu tu, Nyerere, Kambona ( nyuma ya nyerere) na Kawawa. wengine nani anaweza kunisaidia?

Kweli we had a real Tangayika president - manake not only handsome but also serious hebu mcheki hapo - kijana aggressive, smart mwenye mission na vision

Hawa wote wanaonekana kuwa na moyo wa uzalendo (very serious people) kwa taifa lao at that time Tanganyika - tungekuwa na viranja wanaofanana na hawa hadi leo basi tungekuwa mbali sana.

Sasa tumebakia na Vijicent, vijirichimound, vijirada, vijikagoda etc tunahangaika navyo.

Mi naona tupumzike tarehe 2th, 2010 tuomboleze msimba wa Kiongozi wetu shupavu - Simba wa VITA. Nakumbuka vita ya kagera alienda na mwalimu na walikuwa Front line... Ongoza kwa mifano like these guys, kuwa na uchungu na nchi yako, kubali kufa, jitoe moyo wako wote kwa watanzania, kuwa sehemu ya matatizo yao, huo ndiyo uongozi bora. hii ni mifano hai wakuu.

Tatizo kwenye maombolezo watu wataanza kumlilia na nyerere - maana kuwatenganisha ni vigumu hawa makomredi. duh inauma sana.

Waliosimama wa kwanza toka kushoto ni Job Lusinde. Kama unavyosema wote hawajui ufisadi nini. Job Lusinde anaishi Dodoma. Ukifika Dodoma Hotel elekea mlimani kama unaenda Kilimani Bar. Baada ya mita 200 utakuta nyumba yake ndipo anapoishi. Hakuna harufu ya ufisadi hata leo.

Sanasana mtoto wake tu ndiye mtuhumiwa wa ile website chafu ya TheUtamu.
 
Hata Yule kiongozi wa Saudi Arabia naye karibu abadili Dini alipokwenda kwenye Mazishi ya Pope.
Sema tu viongozi Wa vatican wakamwambia sio vizuri maana wewe ni kiongozi utasababisha machafuko, na kuhudhuria kwako mazishi ni utambuzi kuwa wewe ni kiongozi unaye mwamini Mungu.
 
Back
Top Bottom