Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
CCM badala ya kumtafuta mchawi ni kwa nini tunamfuta kazi JK ambaye kabla ya uchaguzi kuanza, Makamba alidai CCM haina mtaji mwingine wa kisiasa ila JK wakati mtaji stahili ni itikadi sasa waelewe sababu za kumfuta kazi kinara wao huyo na wabunge wengi maarufu wa CCM kubwaga chali ni hizi hapa:-
a) kudhoofisha uchumi na kutuacha hali yetu kama taifa kuwa ni ombaomba tu. Hata Jk kwenye kampeni amefikia hatua haoni aibu kuwa ahadi zake zitategemea huruma za Obama na marafiki zake. Sisi watanzania hatutaki kuwa ombaomba na hii ni sababu ya kumfuta kazi JK na CCM yake kwenye chaguzi hii
b) Sababu ya pili ni CCM kutokosea adabu pale walipojigamba kuwa wana ubavu wa kuanzisha mahakama za kadhi ndani ya serikali jambo ambalo katiba inalikataza kabisa kwa sababu nchii hii haina dini. Jeuri hii ya JK na CCM yake sasa itaona ghadhabu za wapigakura kwa kutaka kutuondolea amani hii ambayo msingi wake ni usawa kwa dini zote.
c) JK alitaka kuutafuna mfupa wa kujiunga na OIC ambao Mzee Rukhsa alijaribu kuutia kinywani kwake lakini meno aliyaacha kwenye mfupa huo. Jeuri hii ya JK sasa kupata funzo la maisha kutoka kwa wapigakura hivi karibuni.
Zipo sababu nyingine lakini kubwa ni hizo tatu na tunataka Dr. Slaa achukue nchi ili akomeshe wababaishaji wa CCM kuchezea katiba ya nchi yetu watakavyo kutokana na kulewa kilevi cha madaraka kwa muda mrefu..........
CHAGUA DR. SLAA....CHAGUA CHADEMA......................