Tunakwenda wapi??

spartacus

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
428
142
Wasomi kuna kitu wanaita "trends and development", waungwana mtanisaidia kiswahili chake, ila ni kitendo cha kuangalia mwenendo mzima wa kitu fulani, then kupitia hilo, unaweza kuanticipate ni nini kinaweza tokea in the near future....em tuangalie hiz T n D zetu
1. hazina imeishiwa hela
2. Dowans inatakiwa kulipwa
3. Umeme wa mgawo
4. Tanesco wanapandisha gharama kwa 18.5% wakti kimataifa, huduma za jamii hata iweje hazitakiwi kupanda kwa asilimia 3 kwa mwaka
5. noti mpya zinazochoka kabla ya kutumiwa

haya ni machache tu, but as Great Thinkers, lets predict tunapoelekea ili tuweze kusuggest jinsi ya kujiandaa na hiyo hali.,....kazi kwetu
 
Survival of the fittest for sure.

Hizo trends zinaonyesha mwelekeo hasi wa taifa letu. Kwani gharama za umeme zinaleta madhara makubwa kwenye nyanja zote za maendeleo. Malipo ya Dowans ni hasara kwa taifa,kwani iyo pesa ingetumika kwa shughuli za maendeleo, kama kuzidisha fungu kwajili ya research and development.

Ila mimi napenda tuandamane kushinikiza mkwere na timu yake iachie ngazi. Tunisia wameweza, Algeria na Misri nao wanajiandaa. Tanzania tunasubiri nini wakati hali inaturuhusu.
 
Survival of the fittest for sure.

Ila mimi napenda tuandamane kushinikiza mkwere na timu yake iachie ngazi. Tunisia wameweza, Algeria na Misri nao wanajiandaa. Tanzania tunasubiri nini wakati hali inaturuhusu.

Tatizo linakuja je tutakuwa na umoja kama hao wenzetu?
 
Tunatoka wapi?

- Vijiji vya Ujamaa?
- Wahujumu uchumi?
- Ruksa?
- Ubinafsishaji?
- Wawekezaji?

Nadhani it can click now?
 
My daughter,

Can you go to bed now? nimekuona muda mrefu hapo chini unachungulia tu?
 
Tatizo linakuja je tutakuwa na umoja kama hao wenzetu?

Hata Tunisia si wote waliokua katika mapambano na maandamano. Katika ukombozi na mapinduzi yoyote,kuna FREE RIDERS,ambao wenyewe wanatake advantgage ya munkari wa wadau!
 
Tulikoahidiwa kwenye kampeni kwani ww hukumkuki? Si ndo maana tumewachagua hawa usilalamike sikilizia raha tu na bado mpaka watu watie akili kuwa si KILA LA KIJANI LINA UHAI.
 
Mkuu,
Tumetoka vijiji vya ujamaa na azimio la arusha. vita ya kagera na ufukara na Foleni

gia ya pili, ruksa kufanya utakavyo, biashara, kula vyura, pesa nje nje, uhuru wa kusema na kutukana

gia ya tatu, uwazi na ukweli, ubinafsishaji, kugawana mali za umma kwa bei chee,ujasirimali,EPA na ukapa na utandawazi

gia ya nne, Richmond, dowans, kasi zaidi,ari zaidi, nguvu zaidi, ndege ya uchumi inapaa, maisha bora kwa kila mtanzania..

kwa ambao hawapendi maisha bora, basi risasi za moto... ufisadi na uvunaji wa shamba la bibi..

Wakati ndege ya uchumi inajitayarisha kufika safari, kuna turbulance kidogo..lakini ndege ikituwa basi tunafikia nchi ya maziwa na asali, raha na shibe kwa kila raia. amani na utulivu na welfare system.
Nafikiri nimekusaidia kujuwa trend and development ya TZ in a nut shell!Karibu TZ.
 
Wasomi kuna kitu wanaita "trends and development", waungwana mtanisaidia kiswahili chake, ila ni kitendo cha kuangalia mwenendo mzima wa kitu fulani, then kupitia hilo, unaweza kuanticipate ni nini kinaweza tokea in the near future....em tuangalie hiz T n D zetu
1. hazina imeishiwa hela
2. Dowans inatakiwa kulipwa
3. Umeme wa mgawo
4. Tanesco wanapandisha gharama kwa 18.5% wakti kimataifa, huduma za jamii hata iweje hazitakiwi kupanda kwa asilimia 3 kwa mwaka
5. noti mpya zinazochoka kabla ya kutumiwa

haya ni machache tu, but as Great Thinkers, lets predict tunapoelekea ili tuweze kusuggest jinsi ya kujiandaa na hiyo hali.,....kazi kwetu

Bado tu hujagundu?? pole saana spartacus!! nitakusaidia: "this is another Somalia in the making"
una lingine?
 
Tunatoka wapi?

- Vijiji vya Ujamaa?
- Wahujumu uchumi?
- Ruksa?
- Ubinafsishaji?
- Wawekezaji?

Nadhani it can click now?

Yes, it has cilcked in my mind that we are heading to become "Poorest but Richest Country" in the world, yaani, tajiri masikini wa kutupwa!!!!!!!!!!!!!!???????????????
 
Back
Top Bottom