Mlyafinono
Senior Member
- Apr 6, 2012
- 177
- 47
Huyo askofu anajipendekeza tu, mbona hakuisema serikali kutokana na ukosefu wa vifaatiba.Mbona hakuisema serikali kwauzembe ambao umesababisha kukua kwa mgomo huu.Mbona hakuisema serikali kuhusu umuhimu wa kununua ctscan.Mbona yeye akiugua anatibiwa nje ya nchi.Huyo askofu kama anataka siasa avue joho ashughulike na siasa.Kiongozi wa dini hapaswi kuwa mnafiki.