Tunakopa ili kulipa deni!

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
Wakuu,
Katika bajeti ya serikali inayojadiliwa bungeni, serikali imejipanga kukopa fedha ili kulipa deni lililoiva. Hivi hii ndiyo busara ya dawa ya deni kulipa?
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom