Tunaitaji watu wenye msimamo kama KAKOBE

Kuna safari ndefu kuwatambua hawa watoa neno wetu ila nionacho mimi
Kakobe=Babu wa Loliondo=Mama Rwakatare=Mwingira->Wachumia tumbo .............n.k
 
Kuna safari ndefu kuwatambua hawa watoa neno wetu ila nionacho mimi
Kakobe=Babu wa Loliondo=Mama Rwakatare=Mwingira->Wachumia tumbo .............n.k


Hao wengine siwezi kuwasemea kwa sababu siwafahamu vizuri,lakini Kakobe ninamfahamu!!
Embu niambie,Umeshawahi Kuabudu kwenye kanisa la Kakobe? Kwa muda gani ulikaa pale?
Kama umewahi kuabudu pale hata kwa jumapili tatu tu mfululizo hauwezi Kumsema mabaya Mtumishi yule unless uwe una dosari katika akili!!
 
sina imani na kakobe

Una imani na nani? Kwa nini una imani na huyo unayemwamini na kwa nn hauna imani na Kakobe?!
Umeshawahi kuabudu kanisani kwake? Kwa muda gani?
Nisaidie kujibu maswali haya,Uwe Muaminifu katika majibu yako ukijua fika Mungu anaona hata sirini!!
 
Kuna safari ndefu kuwatambua hawa watoa neno wetu ila nionacho mimi
Kakobe=Babu wa Loliondo=Mama Rwakatare=Mwingira->Wachumia tumbo .............n.k

ni kweli huwezi kutofautisha sababu bdo upo gizani.Ukiwa nuruni utatambua utofauti wa KAKOBE na babu wa loliondo ambaye hata mtoto mdogo anaujua.
 
Wahubiri wote wa kada hii, kuaanzia babu wa Lolindo mpaka Kakobe hawana tofauti na Kakobe.

Kakobe au mwingine yeyote kama Kakobe akiwabalasa, amejibalas mwenyewe.

Wote wasanii tu, wanaosema yasiyo na uhakika wala mshiko. Kuna cousin wangu alikuwa anaangalia movies za cowboys vs. indians halafu anaona indians wanavyochukua
kipigo. Akawaita Indian Chiefs "Ganga Ongo" - a bit unfair on the part of his more judgemental eye.

Kakobe kwangu mie anaonekana kama ana fight a turf battle na huyo babu wa Loliondo, with the difference being Kakobe ni babu wa Dar na "Babu wa Loliondo" ni wa Loliondo.

Other than that wote matapeli watupu.



Kama ni hivyo, wewe ndiye tapeli uliyepitiliza!
 
Nyinyi watu mnaohangaika kumjibia kakobe hapa;
nendeni mkafanye utafiti juu ya imani yenu na ya kakobe isije ikawa too late kwenu, kwani mlango wa rehema bado u wazi. Usiamini kila kitu unachoambiwa ndugu yangu, jaribu kufuatilia ili uweze kufahamu imani ya kakobe imejengwa kwa nani ili uweze kuwa salama ktk safari yako ya imani.

Sihitaji kubishana nanyi hapa, lkn nawashauri tu, kwasababu yawezekana mnahitaji kweli kuwa watumishi waaminifu wa mbinguni ndiyo maana nawashauri; si vema kuamini kila kitu, fuatilieni muweze kujiridhisha kama ni kweli kakobe anaamini hicho mnachodhania au anatumia tu jina ili afanikishe mission yake aliyotumwa.

Nawatakia jioni njema na kwaherini.
 
......nasadiki kwa roho mt kanisa takatifu katoliki ushirika wa watakatifu maondoleo ya dhambi na ufufuko wa miili na uzima wa milele ijayo. AMINA
 
Askofu KAKOBE ni mtu ambaye anaonekana kuwa na msimamo apa nchini na msimamo yake mingi imekuwa ikipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana na wale waliomsikia wanafaidika wakati waliokaidi wanajuta
mfano wa misimamo ni
deci alisema kuwa ni kamari kutoka kusimu wengi walikataa lakini ukweli ukajulikana.
Kuhusu kikombe cha babu loliondo aksema akitoki kwa Mungu ni kumwabudu shetani lakini wengi awakusikia wakasema ni ofu ya kukimbiwa na washirika lakini ukweli ulijulikana wengi wamekufa nawengine kuwa hoi kuliko mwanzo.
Sasa kwa ayo machache tunaitaji mawazo ya mtumishi uyu kwaajili ya maendeleo ya TANZANIA
NAWASILISHA.


Asante 3squere kwa thread yako!

Hatuna budi kujifunza kuwapa credit wanaostahili credit, na kuwatia moyo kutoa michango yao kwa jamii. Mchango wa Kakobe, unahitajika sana, katika kuikomboa nchi hii!

Ni ukweli ulio dhahiri, kwamba, bila elimu ya uraia aliyoitoa Kakobe, siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu 2010; CCM walikwisha kumpiga bao Dr wa ukweli, Dr Slaa, kwa sakata lile la "mke wa mtu", walilolishupalia kwenye vyombo vyao vya habari. Elimu ya uraia aliyoitoa Kakobe katika TV, kwa somo, "MKRISTO NA UCHAGUZI MKUU", ndiyo iliyomwokoa Dr Slaa! Somo hilo, lilikuwa kama golikipa aliyepangua penati ya hatari! Tukibisha, itakuwa ni arguing, for the sake of argument!
 
Wahubiri wote wa kada hii, kuaanzia babu wa Lolindo mpaka Kakobe hawana tofauti na Kakobe.

Kakobe au mwingine yeyote kama Kakobe akiwabalasa, amejibalas mwenyewe.

Wote wasanii tu, wanaosema yasiyo na uhakika wala mshiko. Kuna cousin wangu alikuwa anaangalia movies za cowboys vs. indians halafu anaona indians wanavyochukua kipigo. Akawaita Indian Chiefs "Ganga Ongo" - a bit unfair on the part of his more judgemental eye.

Kakobe kwangu mie anaonekana kama ana fight a turf battle na huyo babu wa Loliondo, with the difference being Kakobe ni babu wa Dar na "Babu wa Loliondo" ni wa Loliondo.

Other than that wote matapeli watupu.


umezoea kudanganywa hivyo ukiambiwa ukweli unachukia

Babu wa Loliondo anatumia uchawi na ndio maana hata kazi yake haijadumu lakini Kakobe anatumia nguvu za Mungu ndiyo maana pamoja na nguvu za serikali na mafisadi wadogo wadogo kama ww mmeshindwa kuimaliza au kummaliza nguvu zake, hata ktk kitabu cha matendo Mafarisayo walisema kazi ya Mungu mwanadamu hawezi kuizuia. ww ni mtu wa ajabu unataka kukinga jua kwa kiganja cha mkono, funguka ktk jina la Yesu kristo ili upate baraka alizokusudia Mungu, ssea amen ksiha enda ukaelekezwa yakupasayo kufanya na watu waliookoka
 
umezoea kudanganywa hivyo ukiambiwa ukweli unachukia

Babu wa Loliondo anatumia uchawi na ndio maana hata kazi yake haijadumu lakini Kakobe anatumia nguvu za Mungu ndiyo maana pamoja na nguvu za serikali na mafisadi wadogo wadogo kama ww mmeshindwa kuimaliza au kummaliza nguvu zake, hata ktk kitabu cha matendo Mafarisayo walisema kazi ya Mungu mwanadamu hawezi kuizuia. ww ni mtu wa ajabu unataka kukinga jua kwa kiganja cha mkono, funguka ktk jina la Yesu kristo ili upate baraka alizokusudia Mungu, sema amen kisha nenda ukaelekezwe yakupasayo kufanya na watu waliookoka,
 
Back
Top Bottom