Tunaitaji kutumia machizi kufikisha ujumbe kwa rais.,waziri mkuu,na wengineo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wana jf kwa yaliotokea huko italia yamenisisimua na kuona kweli kumbe kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa viongozi wetu,..sidhani vichaa wetu wako bright kama wa italia kuweza kulenga kama walivyomfanyia waziri mkuu wa italia,...ilikuwa ni huzuni alipokutwa ni kichaa amempiga na baya zaidi jana kichaa huyo akaomba msamaha,....
Nadhani waitalia wamemchoka yule bwana na vihoja vyake ,...sasa basi turudi kwa upande wa tanzania nadhani tunapoendelea kuna umuhimu wa kuwatwisha jukumu zito hawa ma bwana kila mikutamo ya viongozi tunaaoona wanacheza na maisha yetu kuanzia rais ,waziri mkuu ,hakuna haja ya kusubiri uchaguzi wajue tubavyoumia,...labda angalizo tu kwa mara ya kwanza waaelekezwe kuwarushia pembeeni kidogo ya mashikio yao hata wakikwepa watajua tumeanza wasipobadilika basi watu hao wanafaa kufikishiwa ujube puani mwao na kwenye meno yao ,......
Tunaomba bi sophia ulifanyie kazi hili jambo
 
Nani atakuwa wa kwanza kumrushia pinda sanamu?
Wale waiompiga mawe kikwete kule chunya mbeya,
walikiona cha moto, walienda askari wakacharaza bakora kijini kwa siku nne mfululizo......
Sijui kwa nini vyombo vya habari havikuripoti ukali wa ile mikwaju ya mfyulisi.
 
hivi hili ni la siasa au linaqualify kwenye jukwaa hili? just curious.
 
mama mianahisi nawewe pia ni mmojawapo wa machizi kama yule wa italia sasa ili kututhibitishia hilo hebu jaribu kutupa mfano wewe wa kupiga viongozi,ila kabla hujajaribu hesabu kwenye kinywa chako ujue una meno mangapi ili usije ukasahau idadi ya meno uliyonayo baada ya kupata kipigo kitakatifu kutoka kwa wanausalama wanaolinda viongozi,take care
 
Back
Top Bottom