Tunahitaji supplier wa SAW PALMETTO kutoka Tanzania

George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
149
Ndugu wana Jamvi,
Tunahitaji supplier wa raw materials kutoka Tanzania ambayo ni Saw Palmetto
please if you have any information kuhusu supplier wa saw palmetto kutoka Tanzania tuwasiliane kwenye email hii maigegeorge@me.com kwa watakaotupa proper information za supplier then tutawapatia commission mzuri
 
Mkuu kama huijui utamsaidia vipi? Haina jina la Kichaga hiyo.

Yaani wewe una kiherehere kama mke wa balozi....mtu anaka kupata malezo zaidi ili ajue jinsi ya kutafuta wewe una rukia rukia tu...
 
Ndugu wana Jamvi,
Tunahitaji supplier wa raw materials kutoka Tanzania ambayo ni Saw Palmetto
please if you have any information kuhusu supplier wa saw palmetto kutoka Tanzania tuwasiliane kwenye email hii maigegeorge@me.com kwa watakaotupa proper information za supplier then tutawapatia commission mzuri

Mkuu unataka kiasi gani na Uko wapi? mimi ninafahamu watu wenye hii kitu, ila ni wanachi wa kawaida tu wanao jishughulisha nayo,
 
Mkuu ni nini hii nipe ufafanuzi naweza kukusaidia....

saw_palmeto.jpg

Why do you guys hate google that much?
 
Mkuu unataka kiasi gani na Uko wapi? mimi ninafahamu watu wenye hii kitu, ila ni wanachi wa kawaida tu wanao jishughulisha nayo,

Kwa sasa nipo Nairobi lakini Mimi ni mtanzania nahitaji nyingi kuanzia 500 tani hivi Kama unajua ni email contact zako ntakupia tuongee kwa kirefu
 
Saw palmetto extract is an extract of the fruit of Serenoa repens. It is rich in fatty acids and phytosterols. It has been used in traditional, eclectic, and alternative medicine to treat a variety of conditions, most notably benign prostatic hyperplasia (BPH). Review of clinical trials, including those conducted by the National Center for Complementary and Alternative Medicine, found the extract to be no more effective than placebo for BPH.

Saw palmetto is used in several forms of traditional herbal medicine. American Indians used the fruit for food and to treat a variety of urinary and reproductive system problems. The Mayans drank it as a tonic, and the Seminoles used the berries as an expectorant and antiseptic.Crude saw palmetto extract was used by European/American medical practitioners for at least 200 years for various conditions, including asthenia (weakness), recovery from major illness, and urogenital problems. The eclectic medicine practitioner H. W. Felter wrote of it, "Saw palmetto is a nerve sedative, expectorant, and a nutritive tonic, acting kindly upon the digestive tract...Its most direct action appears to be upon the reproductive organs when undergoing waste of tissue.
 
Kuuliza sina shida napo sana ninashida na hapo ulipojifanya unaweza kutoa msaada. Uchaga ni lugha unayoilewa bahati mbaya saw palmetto hazina jina la kichaga.
umengangania sana uchaga,inaonekana kuna kitu unahitaji kutoka kwao ni nini?...Mke? au .......Mume?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom