Tunahitaji Raisi kama huyu kweli?

TOWASHI

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
294
181
Wakuu,
Kwanza naomba kudeclare kuwa mie si CHADEMA. Nimekuwa nikifuatilia majibishano ya John Shibuda na watu a chama chake. Fine. Nikajiuliza.........
Kweli kwa sasa nchi yetu inahitaji raisi wa mipasho? Yani mtu anayeropoka ropoka hivi....kama hawezi kuudhibiti mdomo wake....what about akili yake? Just thinking aloud
 
Kaka Shibuda ana matatizo ya akili na ni very cheap kumtumia ata wewe kesho ukimwambia naomba ukaniongelee jambo langu hili kuna maji ya kunywa nakuambia utamsikia. Nchi haiwezi kuwa na kiongozi mweu nadhani anota ndoto za mchana.
 
Huyu shibuda ni mzee ambaye hata wajukuu wake hawathubutu kujifunza kupitia kwake. Ni very cheap sana huyu anakuwa kama bendera, akiambiwa fanya hivi anafanya, fanya vile atafanya. Mimi huwa sifahamu kama huyu jamaa huwa ana uhusiano mzuri na akili zake. Ni aibu sana kwa mzee wa umri wake kuwa na tabia alizonazo yeye. Nadhani naye huwa anawaza saaaana kwa kutumia tumbo. bastard!!
 
Alipingia Chadema tuliambiwa kwamba Shibuda ni JEMBE!

Shibuda hawezi kukaa kwenye Chama anatakiwa awe mgombea binafsi, i hope marekebisho ya katiba yatasaidia na akina Shibuda.
 
Unajua SHIBUDA anatumiwa na CCM kuua CHADEMA!!!!
CCM kinadhidi kudhihirisha kuwa safari yake kuelekea machinjioni imefika ukingoni maana watu kinachojivunia nao ni jamii ya WASSIRA na SHIBUDA!!!!
Njia nzuri ya CHADEMA kuwa salama ni kumpuuza SHIBUDA kwani ukiwa unaoga halafu mwehu akakuibia nguo si busara kuanza kumfukuza bali kutafuta namna ya kujisitiri!!!!
 
Wakuu,
Kwanza naomba kudeclare kuwa mie si CHADEMA. Nimekuwa nikifuatilia majibishano ya John Shibuda na watu a chama chake. Fine. Nikajiuliza.........
Kweli kwa sasa nchi yetu inahitaji raisi wa mipasho? Yani mtu anayeropoka ropoka hivi....kama hawezi kuudhibiti mdomo wake....what about akili yake? Just thinking aloud

Wengi wenu na viongozi wa cdm ni WANAHARAKATI , Shibuda ni MWANASIASA, hapo tu ndipo mnashindwa kumuelewa Shibuda, na kamwe hamto mwelewa kwa upeo mdogo mlio nao
 
ni kweli mkuu huyo mtu wa ajabu kweli..kama kuna watoto wanaomuita baba wana hasara kweeli.....!
 
Shibuda ni mgonjwa. Chadema wakiacha mambo ya msingi na kushughulika na mgonjwa itapoteza imani tuliyo nayo kwao ya kuchukua nchi wakati wo wote kuanzia sasa. Ugonjwa wa shibuda unaitwa "verbal diarrhoea". Ni ugonjwa unaosababishwa na kukatika kwa mawasiliano kati ya mdomo na ubongo. As it was once said, "verbal diarrhoea dehydrates human dignity" so is the case with shibuda. Amekuwa kama zezeta fulani na siku akitemwa cdm hatafaa po pote. Kifupi ni mgonjwa!!
 
Wakuu,
Kweli kwa sasa nchi yetu inahitaji raisi wa mipasho? Yani mtu anayeropoka ropoka hivi....kama hawezi kuudhibiti mdomo wake....what about akili yake? Just thinking aloud

hawezi kua Rais huyo...labda awe rais wa wana vijiji wake....
 
Mwenye kujua ana watoto wangapi,wapo wapi atuwekee hapa.nadhani watoto wake watakuwa Ubungo Bus Terminal
 
Wengi wenu na viongozi wa cdm ni WANAHARAKATI , Shibuda ni MWANASIASA, hapo tu ndipo mnashindwa kumuelewa Shibuda, na kamwe hamto mwelewa kwa upeo mdogo mlio nao

Swali la kwanza kwenye mtihani wa siasa kwa wana CCM lilikuwa linasema hivi "Mwanaharakati na mwanasiasa hawana tofauti yoyote" Jadili.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom