Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za customer service

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Tunahitaji dada mwenye ujuzi wa kazi za customer care mwenye sifa zifuatazo.

awe na umri usiozidi miaka 30.
awe na ufahamu walau kidogo wa lugha ya kiingeleza
Awe na uwezo wa kutumia computa hasa


  • Ms.word
  • Ms.execel
  • Ms.publishers
  • E-internet & Email

kwa anayetaka tuwasiliane 0657 145555
 
Tunahitaji dada mwenye ujuzi wa kazi za customer care mwenye sifa zifuatazo.

awe na umri usiozidi miaka 30.
awe na ufahamu walau kidogo wa lugha ya kiingeleza
Awe na uwezo wa kutumia computa hasa


  • Ms.word
  • Ms.execel
  • Ms.publishers
  • E-internet & Email

kwa anayetaka tuwasiliane 0657 145555

Muwe mnataja na sehemu mlipo.
 
mimi ni graduate, napokea 1.2, take home 800000, nije mnipe take home 1.5, niwafanyie castomer care, office management and admn work?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom