Tunahitaji mabadiliko

Huwa naangalia kwanza contents ya thread, kama ni pumba naangalia tarehe ya kujiunga, na kama umejiunga baada ya magamba, huwa nawasamehe bure kabisa kwa roho nyeupe. Kwani wengi hawajui walitendalo hapa kwenye uwanja wa Great Thinkers. Wewe nilishakusamehe kwa pumba zako hizi.
Sasa kaka sijui unataka tutoe nini? Sijakuelewa kaka. Kila mtu anamawazo na mtazamo wake. Nibora ukachangia hapo au kuacha kuliko kutuponda watu kama sisi. Bado naimani na upatikanaji wa haki kwakila mtz. Pata kitu hiki kingine sasa sema tena......

YouTube - ‪Bonta - Nauza Kura Yangu‬‏
 
Back
Top Bottom