Tunafanya nini dowans wasilipwe?

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Ndg zangu kila napotafakari kuwa DOWANS wameshawasilisha hukumu yao mahakama kuu kwa ajili ya usajili na kulipwa hakika na kosa raha na nakata tamaa na nchi yangu pendwa ya Tanzania. kama wadau, wasomi na wanaharakati wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu ambayo CCM hawaipendi tena, nadhani these are the things to be done.

1. Kushawishi vyama vya siasa kufanya maandamano nchi nzima kupinga dhuluma hii kwa watanzani na kuwaelimisha wanyonge vijijini na mijini wasiojua kinachoendela na kuwapa ukweli na sio propaganda wanazowapa CCM.

2. Wanasheria mahiri na wennye mapenzi ya dhati na nchi hii kutuonyesha mianaya ya kuwashinda DOWANS na kuzuia malipo hayo.

3. Kuwalazimisha viongozi wote wa umma walioshiriki kuingizia taifa hasara kuachia ofisi zetu mara mmoja bila kujali ni wakisiasa au watendaji zaidi.

4. Kila mtu anapopata nafasi ya kujadili jambo lolote asiache kulizungumza hili kama ambavyo ilivyokuwa inafanyika suala la UKIMWI kwa kufanya hivyo viongozi viburi na viziwi watasikia sauti zetu na mioyo yao italainika na wata tuheshimu anagalu kidogo.
 
Maandamano na migomo nchi nzima mpaka CCM ianguke.Na haitaishia hapo kwa vile JK na genge lake watakimbia tutaweka shinikizo popote watakokuwa wakamatwe na kushitakiwa.NYAMA MWITU HAWA
 
Unafiki mtupu. Hakuna uchungu ulionao bali tamaa ya madaraka tu. Walaumiwe wabunge waliositisha huo mkataba. MBONA HUWASEMI?
 
Maandamano na migomo nchi nzima mpaka CCM ianguke.Na haitaishia hapo kwa vile JK na genge lake watakimbia tutaweka shinikizo popote watakokuwa wakamatwe na kushitakiwa.NYAMA MWITU HAWA

Mgaya wa TUCTA yuko wapi??????????????.

UNAFIKI, UNAFIKI TUUUUUUUU NA TAMAA YA MADARAKA. DENI LAZIMA LILIPWE. KAMA HUNA MGAO KALAGABAHO MWANAWANE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom