Elections 2010 Tunaenda kwenye mikutano ya JK kuangalia Zecomedy.

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
Kitendo cha Dr. Slaa Kwenda kwenye Mikutano yake ya Kampeni bila nguvu ya ziada ya wahamisishaji kama vile ze comedy. Kumempa Umaarifu mkubwa sana Hapa Iringa. Wengi wanasema hii inatokana na kujiamini kwake. Poleni sana CCM. Every move you are making is letting you down.
1.using the comedy
2.Carrying ppl in tracks
3.Bashe & Mwakalebela
4
5
6
 
PHP:
[quote="mlachake, post: 1119937"]Kitendo cha Dr. Slaa Kwenda kwenye Mikutano yake ya Kampeni bila nguvu ya ziada ya wahamisishaji kama vile ze comedy. Kumempa Umaarifu mkubwa sana Hapa Iringa. Wengi wanasema hii inatokana na kujiamini kwake. Poleni sana CCM. Every move you are making is letting you down. 
1.using the comedy
2.Carrying ppl in tracks
3.Bashe & Mwakalebela
4
5
6[/QUOTE]

4. Kuwataja mafisadi papa kuwa ni wasafi na wachapa kazi.
5. Kuwadanganya wananchi kuwa wanaenda kumsikiliza dr. Slaa kumbe ni CCM
6. Kuwadanganya wananchi kuwa elimu bure haiwezekani "eti hela watapata wapi"
kumbe wanakua inawezekana.
7.
View attachment 14633
 
Back
Top Bottom