Tunacheza hivi...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Unacheza hivi....jpg

Tulia hivyo hivyo nikuonyesha jinsi ya kucheza huu mchezo wetu!

Eeeh bonyea kidogo; haya piga sasa!
 
Aisee, naomba kazi ya u coach kwenye hiyo team, mimi ni profeshno kabisa ila vyeti vilipotea kwenye ajali ya mv.Skagit
 
sasa mbuzi mzee mbona inaonekana kama ndizi iko kwa nyani kwa jinsi huyo shosti alivyokaa.
Tulishaweka UTARATIBU wa kuchangia hoja unatakiwa uingie humu ukiwa na akili timamu!
Uliambiwa aliyerusha hii thread ni huyo uliyemtaja?
Acha MAJANIi mkuu ya bila kula, utadata!
:focus::poa
 
Back
Top Bottom