Tunachemsha bongo zetu tena

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Umepewa sarafu tatu zinazofanana na mzani,sarafu mbili zinalingana uzito na moja ina uzito mkubwa ukilinganisha na mbili zilizobaki.Je utafanyaje ili uijue hiyo sarafu yenye uzito mkubwa.Unatakiwa kutumia mzani mara moja tuu kupima uzito wa sarafu hizo kama utahitaji.
 
Simple: Nitachuka Mizani halafu upande ule wa kuweka jiwe la mizani naweka sarafu moja, na kuli kwingine naweka sarafu nyingine the naangalia jinsi zitakavyo balance, ikitokea zipo sawa basi ile ambayo sijaiweka kwenye mzani ni kubwa, la kama ikitokea moja imemzidi mwenzie basi moja kwa moja yule aliyemzidi mwenzie ndo kubwa

Jaribu tena ni rahisi sana swali lako.........hata mtoto wa vidudu anajibu
 
Too simple...sio swali la kiJF!:angry:
 
Ok mkuu,you got it I will be back with a tough one stay tuned.
 
Back
Top Bottom