Tunaacha gharama za umeme zinapanda hivi hivi!

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Wenzetu Nigeria wameandama baada ya kuona maisha yatapanda baada ya seikali yao kuondoa ruzuku ya mafuta. Sisi bei ya umeme inapanda kesho kwa aslimia 40+, hatujaonyasha reaction yoyote, tumekubali maisha magumu. Maji yatapanda, chakula kitapanda, aghalabu kila kitu kitapanda mradi tu tunategemea sana umeme. Tumekubali kilaiiiiiiini kulipa deni la Dowans.
Jamani wanaharakati, hebu tuingie hata barabarani tuonyeshe hasira zetu, tusiwaache wakafanya wanavoojisikia. Kama ni kupinga tulipinga kwa maneno wamekataa. Sasa tuingie japo barabarani. Vyama vya wafanyakazi kama Nigeria walivofanya tupeni njia, sie tutafata. RIP Regia Mtama..
 
Back
Top Bottom