Tuna design logo nzuri na banners haraka (online orders)

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Salaam wakuu wa jf,mimi ni mmja kati ya wadau wa graphics hapa jf,na nina blog yangu niliyoianzisha hivi karibuni kwa ajili ya kufanya designs za logo,banners na kazi nyingine za graphics kwa haraka kupitia orders za online.either uni p.m hapa ama through my other contacts kwenye blog yetu.order yako itafanyiwa kazi haraka na kwa utaalam mkubwa.natanguliza shukrani.tembelea blog yangu ya logozetu blogspot com.usisite kutoa comments zako
 
weka sample hapa

HII HAPA NI MOJA YA KAZI ZANGU...
NyamaChoma++A3.jpg

:juggle:
 
Back
Top Bottom