Tumuombee Jaji Mapigano wapendwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Wapendwa katika bwana!

Tumwombee mpendwa wetu JAJI MAPIGANO yuko ICU AGAKHAN HOSPITAL ANAPIGANIA roho yake
ilikuwa jana nilikwenda hospital nkakuta magari zaidi ya ishirin msafara wa rais nikapita niliporudi tena nje nikakuta msafara wa jaji mkuu, ikabidi kuuliza nikaambiwa Mpendwa JAJI MAPIGANO yuko ICU anapigania roho yake kwa israel.

Mungu akuna analoshindwa na si mbaya kuamini saw na ZAB 118....SITOKUFA BALI NITAISHI NIKIYASIMULIA MAKUU YA BWANA

Kwa niaba ya familia ya mapigano na wapa pole kwa kuguza naomben mumwamini Mungu anaweza yote

Rgds
Pdidy2011
 
Na Apone Haraka!...
Lakini zaidi sana kwa muda huu amwombe Mungu amsamehe dhambi zake.
 
Tutamwombea kwa jina la bwana pepoo mwache jaji mapigano aje apiganie katiba mpya
 
Heshima kwako Pdidy,

Hapo kwenye red naomba ufafanuzi kidogo mara kadhaa nimesikia watu wanasema Israel alitaka kuchukua roho yake mbaya zaidi ume quote Zaburi 118 sasa naomba uquote neno kutoka kwenye biblia takatifu ili kuhalalisha usemi wake laukama hakuna huo mstari kwenye biblia takatifu achana na maneno ya mitaani unaweza kujikuta unatenda dhambi bure.

Tuna mtakia afya njema jaji Mapigano.
 
E Mungu mnusuru mmoja wa majaji wapiganaji kama jina lake.
Siku hizi hata walofeli sheria nao majaji! Duh sipo mie.
 
Mleta habari aweza kutuhabarisha zaidi? Jaji anatatizo gani? Alipata ajali? au aliumwa kwa mda mrefu?

In all tunamtakia afya njema Mzee Mapihano na Mungu amponye aendelee na shuguli zake.

Pole sana Jaji.
 
Wapendwa ktkt bwana !!
Tumwombee mpendwa wetu JAJI MAPIGANO,yuko ICU AGAKHAN HOSPITAL ANAPIGANIA roho yake
ilikuwa jana nilikwenda hospital nkakutamagari zaidi ya ishirin msafara wa rais nikapita niliporudi tena nje nikakuta msafara wa jaji mkuu....,nnikabidi kuuliza nikaambiwa Mpendwa JAJI MAPIGANO yukoICU anapigania roho yake kwa israel...Mungu akuna analoshindwa na si mbaya kuamini saw na ZAB 118....SITOKUFA BALI NITAISHI NIKIYASIMULIA MAKUU YA BWANA
Kwa niaba ya familia ya mapigano na wapa pole kwa kuguza naomben mumwamini Mungu anaweza yote
Rgds
Pdidy2011
Asante sana kwa ujumbe wako mzuri ulioutoa kuhusu Jaji Mapigano.
Ila Next time tafadhali usichanganye ujumbe wa muhimu kama huu na Lugha za kuokoteza mitaani zisizokua na chembe ya ukweli. Ulisikia wapi kua israeli ndie mtoa Roho za watu kama si lugha za mitaani zisizokua na mbele wala nyuma?
Angalia na chunga ulimi wako usijekuta unatumia maneno yaliyo kinyume na Mungu bila kujijua.
 
Back
Top Bottom