Tumuunge mkono mwakilishi wa Tanzania

Iacheni ikae hapa hapa.. ili "fulani" kimuume.. but mkihamisha hatutalia kama kina nanii...

teh teh teh...

afadhali uwaambie maana wanapenda kweli kuipondea JF.

GO Rachel Temu. Usijali Haterz wanasema nini.
Mimi nitakusapoti ingawa umesema wewe ni mwanachama wa kudumu wa ccm. Naomba uwakilishe nchi yetu vizuri.
 
Iacheni ikae hapa hapa.. ili "fulani" kimuume.. but mkihamisha hatutalia kama kina nanii...

subliminal shorts fired !
this shows a sign of cowardness, kama unaweza kukemea viongozi why not huyo mtu (me) in this case, hainiumi mzee !

haya bana kesho ijumaa na sio leo ! i got u.
 
You are flattering yourself Kada.. I was not even thinking about you.. I'm sorry to disappoint you.
 
yaani ni kweli tulikuwa tuna tofauti katika threads fulani fulani na nyingine tulikuwa tunaungana mkono, lakini huu sasa upuuzi yaani tena HIGH QUALITY UPUUZI !!!! nani aliyekwambia natetea hao unaowasema, sasa amini unachoamini ! simshikii mtu bakora.
 
Endelea kutumia majina yote baba...

Soma signature ya Nyani Ngabu inasema kuwa watu wakishindwa hoja huleta vioja.

Ina maana sana hiyo signature!

Kazi kwako......

Kwangu mimi hapa ni mwendomdundo tu:

GO Rachel Temu. GO Tanzania
Usisikilize haterz wanasema nini.
Iwakilishe Tanzania vyema.
 
sorry to let u know am not disappointed on anything ! thats a cover up though !
Believe me.. I were to name names.. especially haya ya kujibandikiza.. wala sioni kazi.. na kama ingekuwa wewe you know ningetaja jina kwa sababu I don't think you would take it that serious..
 
yaani ni kweli tulikuwa tuna tofauti katika threads fulani fulani na nyingine tulikuwa tunaungana mkono, lakini huu sasa upuuzi yaani tena HIGH QUALITY UPUUZI !!!! nani aliyekwambia natetea hao unaowasema, sasa amini unachoamini ! simshikii mtu bakora.

Babaangu...bora usibishane humu kuna WanaJF na WenyeJF. Unapoteza muda wako bure...wazungu wana kale kamsemo kao kanasema, "don't argue with a ...
 
Believe me.. I were to name names.. especially haya ya kujibandikiza.. wala sioni kazi.. na kama ingekuwa wewe you know ningetaja jina kwa sababu I don't think you would take it that serious..

nipo na wewe hapo ! it was worthy it me replying you ! nimekuelewa !
 
Back
Top Bottom