Tumuunge mkono mwakilishi wa Tanzania

well i have seen girls who are unattractive but this one tops my list.

Instead of concerntating doing that the thing to do is give support to our Miss Tz 2007/08.
 
siwezi kupigia kura shindano la kutafuta miss, kwa sababu sioni faida yake kwa tanzania kama nchi
 
Mwk,

nilikuwa sijasoma hii bio ya Rachel aliyoiweka kwenye hiyo website. Kumbe Rachel ni mwanaccm tena permanent?

Tena anafanya kazi kwa mwizi mama Mkapa?

Hapa kazi ipo? siamini hata unampigia debe Rachel!

Mgaya,

Hata mimi najua kuwa Rachel amesema kuwa yeye ni mwanaccm na hiyo issue ya permanent nimeiona. Nadhani binti anatakiwa tu kujifunza namna ya kuandika bio kwenye tukio linalohusu nchi nyingi tofauti na tukio la mambo ya nchini Tanzania.

hata hivyo, Ninamwona Rachel kama mtanzania kwanza na yeye anaiwakilisha nchi yetu hapa. Katika hili nimelazimika kuweka unazi pembeni (sio siri mimi sipendi wizi, ufisadi, na ukoloni wa ccm) ili kumuunga mkono mwenzangu ambaye so far sijasikia tuhuma za yeye kuhusika na wizi au ubadhirifu wa ccm.

Watakaopenda kumpigia kura watampigia na wengine watamsapoti miss Tanzania na life itaendelea.

Asante
 
well i have seen girls who are unattractive but this one tops my list.

Instead of concerntating doing that the thing to do is give support to our Miss Tz 2007/08.

Lusajjo,

Huu ndio uzuri wa JF, Hakuna anayelazimishwa hapa kufanya chochote asichopenda. Utasimamia maoni yako na ninakupongeza kwa hilo.
 
Sidhani kama kuwa mwanachama wa CCM kuna mdisqualify mtu kushiriki jambo lolote au kufanya jambo lolote vinginevyo tutajikuta tunaingia kwenye mtego wa chama cha Baath cha Iraq. Kigezo kiwe ni ufisadi bila kujali rangi, chama, itikadi n.k Kama kuna mtu anamtuhumu kuwa ni mfisadi basi hiyo yaweza kuwa kigezo.. so far hakuna mwenye tuhuma hizo. So go Rachel kwani yeye ni Raia wa Tanzania na ana haki zote kama Raia wa Jamhuri yetu!! Miye nimeshapiga, wewe je?
 
Haya Jamani,

Ninawithdraw statement yangu.
Nadhani Rachel apigiwe kura kwa kigezo cha utanzania.
Ila mkubali kuwa hayo ya kujitangaza kuwa permanent memba wa ccm inawatenga mashabiki wake ambao wanachukia uovu wa ccm nchini.

Asante pia.
 
Nami nimempigia Kura yangu Rachel!,Nilikuwa napata kiguguminzi kwa Huo UCCM wake tena wa Kudumu!,Lakini wazo lenu la kuangalia Utanzania kwanza limenipa Msukumo wa ku-vote.
 
mzee nadhani sasa watu washajua hii thread ipo hapa na watu washapiga kura, ningependa kuomba kwa heshima yako uiweke sehemu inayostahili !

asante !
 
Sijawahi kulalamika kuhusu posting za thread, lakini sasa I think sometime muungwana Semvula Chole na Brazamen wako sahihi kuna double standards humu, ni thread zipi zikae kwenye siasa na zipi zitoke. Jamani, mi naonelea tukiamua kitu basi lets have a level playing field. Kesho akiweka Brazamen watu mnaanza ooh unaharibu thread..hii thread ni urembo pure! sasa siasa iko wapi?

No pun intended ila nimechukua jukumu kama la mzee BUTIKU (mwanachama mtiifu wa CCM) mimi ni mwanachama mtiifu wa Jambo Forum! Kwa sababu swala la thread linapigiwa kelele sana humu mpaka watu wanataka kupigana na kutoana macho (online??)

Lets stop double standards. Otherwise Semvula Chole na Brazamen watakuwa wanaonewa for no good reason.

All the best Rachel na huyo dada wa Kobelo!
 
Admin naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na baadae unaweza kuihamishia kwenye forum yoyote utakayoona inafaa.

Nilivyoanzisha thread niliomba Admin aihamishe kwenda kokote apendako. Niliomba tu iwe hapa kwa muda tu ili watu waisome.

Admin,

Sina pingamizi kama hii ikihamishwa kwenda forum zingine mara tu mtakapopata nafasi.

Asanteni.
 
Ndio mambo ya protokali hayo yanawashinda wengi sio viongozi wetu tu ! lakini wakishindwa viongozi wetu wao wa kwanza vidole kuwawasha kwenye keyboard na kunza kulalama, lakini wakikosea wao hata ukiwaambia kwa upole utaambiwa usiyotaka kusikia !

lakini tumezoea, hayajaanza leo wala jana !
 
Ama kweli ccm wameishiwa.

Yaani kulinganisha uovu na viongozi wa serikali na suala la kugombea umiss? Kuanzia sasa wewe ni Iraqi info minister?

Unasema chochote anytime you want!..... ukisikia kuchemsa ndio huku.
 
Nimeshangaa Mwafrika Wa Kike Aliposema Hiyo Ujumbe Amepewa Kwa Pm , Sijui Ni Nani Aliyempa , Lazima Aliyempa Atakuwa Ni Mwanachama Wa Jambo Kwanini Yeye Mwenyewe Hakuamua Kuiweka Katika Ukwa La Sanaa Na Burudani ?

Hapa Siasa Watu Wanajadili Mambo Mengi Likiendelea Kukaa Hapa Kesho Tu Watu Wanasahau Na Hiyo Itakuwa Ni Bye Bye

Lakini Mimi Nimeshaiweka Katika Mailing List Yangu Hakuna Matata
 
i dont mind you sharing your comic ideas with the rest of the floor, welcome mr. speaker ! Wewe ndio wale wale brainwashed minded people, kama in your opinion KadaMpinzani kakosea, why put the whole burden onccm ? umesikia mie speaker wa ccm ? endelea kuwa brainwashed ! You are prroving what i said !

You have a big misunderstanding, misconceptions about ccm just like the many people elsewhere !
 
Nimeshangaa Mwafrika Wa Kike Aliposema Hiyo Ujumbe Amepewa Kwa Pm , Sijui Ni Nani Aliyempa , Lazima Aliyempa Atakuwa Ni Mwanachama Wa Jambo Kwanini Yeye Mwenyewe Hakuamua Kuiweka Katika Ukwa La Sanaa Na Burudani ?

Hapa Siasa Watu Wanajadili Mambo Mengi Likiendelea Kukaa Hapa Kesho Tu Watu Wanasahau Na Hiyo Itakuwa Ni Bye Bye

Lakini Mimi Nimeshaiweka Katika Mailing List Yangu Hakuna Matata

Shy,

Aliyenitumia hii kwenye PM ni memba mpya hapa forum na aliniomba sana niiweke mimi hii issue ya Rachel JF ila mimi nikaamua kuiweka hapa kwenye siasa.

Asante kwa kuweka kwenye mailing list yako. Hii ndio sababu ilinifanya niombe ikae hapa ili watu wengi waisome na kisha ihamishwe kama ambavyo mada nyingi huweka hapa kwa muda na kisha kuhamishwa.

Thanks
 
Back
Top Bottom