Tumuombee Smile, Mungu ampe nguvu awe imara.

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
......anauguliwa na mama yake mzazi ambaye alikuwa katika critical condition, lakini kwa sasa she is promising.
Imemlazimu Smile kuchukua likizo kwa muda mfupi ili awe karibu naye katika kipindi hiki.

Mungu azidi kukupa nguvu na uthabiiti kila wakati uwapo na mgonjwa ili awe mwingi wa matumaini, pia azidi kumnyooshea Mama yetu mkono wake wa uponyaji ili hali yake izidi kuimarika kama ilivyo sasa.
 
pole mrembo, Mungu akupe nguvu ya kumuuguza mama etu mpendwa na Inshaallah malipo mazuri utayakuta huko akhera tuendako. Just b brave
 
Hellow Smile,ulipotuaga tulikutakia heri uendako,so bado tunakuombea sana na Mungu atamponya mama haraka,Pole sana kwa Kuuguza.
 
tunamuombea kwa mungu na kama unavyojua kwa mungu hakuna lisolowezekana atamwezesha kama alivyo fanya kwa wazambia tmu ya taifa..
 
Pole Smile, Mungu akuponye haraka urudi jamvini...
We miss you!!!
 
pole kwa kuuguza smile!
tunamuombea mama apone haraka!
we miss you .
 
Mungu atamjalia mama, kila la kheri.
NB: I hope you have her consent kuongelea haya,sio kila mtu anapenda kushare details (kama critical conditions, likizo etc)
 
that is a good thing about having daugthers,in times of need they can sacrifice a lot,mitoto ya kiume mmmhhhh!
ahsante Smile Mungu atakubariki kwa kujitolea kwako kumuuguza mama!
 
Back
Top Bottom