tumsaidie huyu mwenzetu kuhusu tcu

de gscom

Member
Aug 15, 2012
6
0
jamani wadau mwenzetu huyu katika kuomba vyuo akaweka na open university .na bahati mbaya kachaguliwa huko.yeye ni form six liver.sasa afanyaje jinsi ya kupata chuo kingine
 
jamani wadau mwenzetu huyu katika kuomba vyuo akaweka na open university .na bahati mbaya kachaguliwa huko.yeye ni form six liver.sasa afanyaje jinsi ya kupata chuo kingine

Kozi gani alichaguliwa? kama kozi za arts, aende asome. OUT sio mbaya, mimi nimesoma sheria hapo na I am really performing!
 
Chuo ni chuo kwan hata OUT wanatoa Bachelor, so yeye aende 2 aksome. But he/she should keep on mind kwamba anatakiwa akipende na kujiamini ndio atafanya vizuri ktk matokeo yake.
 
Back
Top Bottom