Tumpe Nafasi JAJI MPYA; Jaji mstaaf RAMADHANI kaa kimya kuhusu KATIBA MPYA

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Jamani sio vizuri kumdai katiba mpya jaji CHANDE wakati ndio kwanza ameapishwa jana. Tumpe kiasi cha muda kwanza apunguze kesi nzito zilizoko mahakani. Vyombo vya habari viwe fair.

Jaji mkuu mstaafu hana haki ya kujadili hoja hii kwani yeye ilimshinda.
 
Unadhani anahitaji muda gani hadi aweze kuanza kazi? kwani alipokuwa mahakama ya rufaa alikuwa mgeni wa masuala ya katiba? Tena anatakiwa asisubiri kutupotezea muda. Hatutaki maneno yale ya Kitanzania kwamba suala hilo lipo kwenye hatua ya...mchakato, upembuzi yakinifu nk..

katiba tumeshaona ina kasoro nyingi, kama kuna watu hawaoni basi tuanze kutazama katiba yetu sasa na hatimaye tuiandike upya.
 
Jamani sio vizuri kumdai katiba mpya jaji CHANDE wakati ndio kwanza ameapishwa jana. Tumpe kiasi cha muda kwanza apunguze kesi nzito zilizoko mahakani. Vyombo vya habari viwe fair.

Jaji mkuu mstaafu hana haki ya kujadili hoja hii kwani yeye ilimshinda.

Tangu lini Jaji Mkuu ndiye anayeandika au kutoa Katiba? Na tangu lini raia yeyote anakuwa hana haki ya kujadili mada yeyote inayomgusa?

Amandla....
 
chrityboy acha propaganda zako huna uwezo wa kumzuai mtanzania kutoa maoni yake-jaji mkuu ameona changamoto anafanya kulisema katika handover yake amekosea nini -wewe fisadi??????
 
Safi muongeze Dozi tena
 
Back
Top Bottom