Tumieni vyombo vya habari,,,,

kibhopile

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
1,505
753
Siku ya kwanza nilidhani ni maandamano ya public ceremony or something. Then kesho yake makelele hivo hivo. Hivi tv na redio za Arusha zinafanya kazi gani kama kila tangazo kwa wanajamii lazima gari ipite barabarani kupiga makelele. Watu tunashindwa kufanya kazi kisa mtu apita nje na litarumbeta lake kusema ' bill ya maji imetoka wananch mkalipe' hivi tangazo kama hili si tshs 5000/= tuu kwenye radio sasa yanini kupita mtaani kutupigia makelele, inakera sana. sometimes wanakutana pamoja huyu atangaza kodi ya TRA, huyu umeme, huyu maji, huyu CCM, huyu mganga wa kienyeji yani tabu tupu coz hakuna unachoelewa ' kalipe mitishamba tanesco tra kuanzia kesho wanakata majii' hata ujumbe haufiki. mnatuchosha sisi wenye ofisi town. TUMIENI VYOMBO VYA HABARI.
 
Back
Top Bottom