tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

Wakuu naombeni msaada wenu,kwenye select network operator unachagua operator gani?maana hakuna network operator wa Kitanzania,na hata option ya all operators hakuna
 
Powa nitajaribu; ila mimi natumia software ya Join Air; hiyo aina haja ya kuangaika, ukishainstall tu kila ukiweka line kwenye mordem inadetect mtandao wowote. Tuendelee kusaidiana bandugu - kama kuna anayehitaji ani PM nimpatie

...Maana yako ya 'Tusaidiane'ni ipi? Mwenzanko kaweka vitu hadharani watu wanajichotea na kuuliza maswali. Ndiyo Spirit ya JF. We unataka mpaka member waku-Pm tena!!?? Acha Uchoyo, weka mambo hadharani, mkuu...!

Powa nitajaribu; ila mimi natumia software ya Join Air; hiyo aina haja ya kuangaika, ukishainstall tu kila ukiweka line kwenye mordem inadetect mtandao wowote. Tuendelee kusaidiana bandugu - kama kuna anayehitaji ani PM nimpatie

Join air ni kwa zte tu huawei ney
 
Wakuu naomba mniambie kwa aliyfanikiwa vipi kuhusu speed.... Itachukua speed ile ya uwezo wa modem ama???
 
Powa nitajaribu; ila mimi natumia software ya Join Air; hiyo aina haja ya kuangaika, ukishainstall tu kila ukiweka line kwenye mordem inadetect mtandao wowote. Tuendelee kusaidiana bandugu - kama kuna anayehitaji ani PM nimpatie
Fafanua usiishie njia... Kuhusu hiyo join air
 
Mkwawa now nimejiptia ka lumia kang
Jana sasa nilizoe kodi kuangalia game huku nifanyaje nipate kutizama Mpira na mambo mengine hasa EPL ni lumia 535
download stream tube toka store halafu wakati wa match just search jina la timu
 
hey brothers and sisters nataka tushee hii trick of mine kutumia line yoyote ya mtandao wowote kwenye modem yoyote unayoitaka wewe bila ku unlock,(tigo, voda na airtel)

Fata hizi step

Chomeka modem na line isiokua ya mtandao sawa na modem then itakwambia invalid sim, ignore hio msg then close software ya modem

Open nokia pc suite (vizuri uwe na latest version) halafu click pale pa kukonektia na internet (one touch access) utaona tab itapop up then click configure halafu select modem yako mfano (huawei 153) click ok

Now connect na internet bila ku unlock modem, enjoooy

Kama utakua na tatizo u may ask
Mambo matam si ndo kama haya sas. Hadi raha
 
Mkuu.. Modem ya voda E303 inagoma kuconnect msaada tafadhali
 
Kaka kudownload nokia pc suit naweza kutumia simu yangu then hiyo application nikaipeleka kwenye kompyuta?
 
Back
Top Bottom