tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

kaka katusaidia jamaa wanatumia cdma hawa wa ttcl nafkiri we wa zantel unaenda nunua usiende kwanza azima mtu mwenye zantel modem utest kuna modem nyingi zantel zina cdma kama network.

Kaka pc suite zipo sema kudownload inabidi uwe na bundle ya kutosha nakushauri kama una cd ya simu ya nokia latest iingize kwenye computer yako utaona option ya ku install pc suite
 
hivyo tari mkuu sasa inafuta ile step ya select network operator hapo ndo panaanza kuzingua plz any more help if possible
 
alafu chini yake ndio kuna kuconfigure network manualy ila sidhani kama ni hapo coz mbele inakuuliza mabo ya access point,username,password,na additional initialization command
thanx in advance
 
dah sijui ndo nimeharibu kabisa maana nw inaniambia no modem found bt mbele inasema imedetect modem ya huawei 3G SO UTATTA UNAANZA KWENYE STEP INAYOFUATA YA kUCHOOSE NETWORK OPERATOR THEN NIKASHACHAGUA YA KWANZA NCHI KAMA ULIVYOSEMA THEN MWISHOWE NIKIICONECT INASEMA FAILED TO ESTABLISH NETWORK CONNECTION

dah may be kuna kitu na miss ila poa thanks for your k,dge and advice nitajaribu kwa wengine kama kuna maujuzi mengine plz tupeane
 
Chagua manual then eka details za mtandao nafkiri apn (access point name) ya mitandao yote ni INTERNET
 
Mkuu, nimeweka line ya voda kwenye modem ya ttcl naona hainipi majibu!...au mimi kichwa ngumu?...hehehee
Mkuu ni suala la tofauti ya kiteknolojia kwa kuwa ttcl wanatumia CDMA (Code Digital Multiple Access) na line yao inaitwa RUIM/UIM (Removable User Intarface Module) Ni tofauti na muanzisha mada ambaye ni based on GSM (Global System for Mobile Communication) ambazo line zake ni maarufu kama SIM (Subscriber Identity Module) hivyo hata kwa tofauti na terminology zinazotumika utaona kwamba techno issue.
Nawasilisha.
 
Ngoja nijaribu. Nitarudi

nimerudi mkuu. Nilijaribu kwa modem ya airtel imekataa. nimefungua mpaka nokia pc suite pale kwenye one touch access inasoma no modem. Nikadhani labda tatizo line siyo. Basi nikarudisha line ya airtel na kuitumia nimeconnect kama kawaida na nikapata internet connection. muda huo nimeconnect kwa airtel nikaenda nokia pc suite kwenye one touch access bado inasema no modem. Tatizo inaweza kuwa nini mkuu?
 
ukishafika hapo sasa bonyeza kwenye alama ya "spanner" (setting/configuration) itatokea tab nyingine, click next, then connect. Kwisha!!!
 
ukishafika hapo sasa bonyeza kwenye alama ya "spanner" (setting/configuration) itatokea tab nyingine, click next, then connect. Kwisha!!!

Jamani moderm yangu ni ya Zantel je inawezekana? na wakati unafanya haya lazima uwe kwenye net au? maana naona nashindwa hata kuanzia hapa.
 
Jamani moderm yangu ni ya Zantel je inawezekana? na wakati unafanya haya lazima uwe kwenye net au? maana naona nashindwa hata kuanzia hapa.

Unaweza kujaribu kwa zantel lakini hii trick ni kwa modem za tigo, voda na airtel
 
Mkuu big up saana. Nimefuata maelekezo yako, kitu kimekubali thanks. Nimejaribu kutumia Airtel Modem e153, ndani kukiwa na line ya tigo. Hii ina maana ile software ya kufanya temporary unlock itakua imepata competitor(NOKIA PC SUITE).
kaka naomba na mimi unipe hata hayo maujanja ya temporary unlock plz niitumie kwenye modem ya ngu ya tigo maana napata tabu kkweli ndugu yangu
 
Chagua manual then eka details za mtandao nafkiri apn (access point name) ya mitandao yote ni INTERNET
kaka kuna vitu vingi pia inabidi vijazwwe kuna access point usernem,pasword na additional initialization command so hapo inakuwaje
 
Back
Top Bottom