kaka brakelyn umeua hapo, hakuna cha android wala symbian, wote watoto kwa ios, yani hawajakubali tu na hizo screen hapo, inawabidi tuwatafute tuwafanyie demonstration hapo kwa papo ndo wakubali
kuna .cer na .key ya opda ambayo inalast for 20 years just google for it.wakuu mimi ni symbian damu damu ila sahizi natafuta chaka la kukimbilia as long as Nokia wametuchinjia baharini kwamba hatuwezi ku hack tena kwa kutumia DEVELOPER cer. na .key hakuna FUN tena kwenye symbian its uselesss sword japo ni zuri.

Yaani nasomaaaa hadi hapo sijaelewa chochote.. sijui wewe mwenzangu....
Wajanja wa Android wameshindwa challenge imebidi niwe innovative mwenyewe.
Umefanya nini kamada ili tuweke kwenye kumbukumbi siku tukizikamata hizo android tujue cha kufanya tukikumbana na matatizio kama hayo.

Kitu rahisi sana, nime back up .apk file kwa kutumia appInstaller kwenye simu ambayo ina market na Android 2.1, nikakopy .apk kwenye computer, nika ji email hilo .apk file kwenye Acer tablet ambayo ina Honeycomb na hivyo hairuhusiwi kudownload .apk straight from Market.

Kutoka hapo nime install poa tu, ingawa "The Economist" na Market wanasema app hii haiwezi kuwa installed kwenye Honeycomb.

Nishafanya nilichotaka, which was to install "The Economist" on an Android tablet unning Honeycomb.