elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Tangu google watoe os yao ya android, wameweza kuyapiku makampuni mengi yanayo tengeneza os za cm za 3rd part os kama microsoft windows mobile na symbian. Kwan makampuni mengi ya simu yamegeukia os ya android na watengenezaji wengi wa application za simu wameacha kutengeneza application za os nyingne na wameamia katka kutengeneza application za android. Na jambo la busara walilolifanya ni kuanzisha android market ambapo dvelopers wa application za android wanaweza kuuza application zao kama ztafkia vgezo vinavyokubaliwa. Wazo hili kwa mara ya kwanza lilianzshwa na apple kwa ajili ya kuhamasisha watu waweze kutengeneza application za iphone. Windowss mobile imepoteza mvuto na hilo limemfanya microsoft naye aanzishe omarket kwa ajili ya kuhamasisha watengenzaji wa application kutengeneza application za windows mobile.
Je hivi ni kweli kwamaba microsoft os zake za cm na computer si bora ukilinganisha na mac, android na nyngne.
Jibu ni kwamba mac anajua kuteka soko kwa kucheza sana UGI yan user graphic interface amabayo android pia naye kaiga. Graphcs za android na mac ni safi na smooth sana kias ya kwamba mtumiaj anaenjoy kwa kuona uzuri wa zule smooth icones na na display. Lakini windows bado ni bora kwa mambo mengi ambayo mtumiaji hayaoni yana fanya kaz nyuma nyuma katika ku handle operating ya simu ana applications.
Lakini kwa hali ilivyo sasa android ndo chaguo bora kwa kuwa huwez kosa application yoyote ya android mm nimeshangaa nimepata mpaka adobe photoshop ya simu kwa android yan application nyingi sna for android. Nokia naye kaitelekeza symbian sasa atahamia os yake mpya ya maemo ambayo iko kwenye n900. Symbian was merely a smart 4n os thou nokia alijitahd iboresha.