Tumi molekane

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Wakuu......Majuzi wakati wa tamasha la utangulizi wa WC pale SOWETO kuna jamaa anaitwa TUMI MOLEKANE alipanda kumpa support SHAKIRA na kuimba naye wimbo wa Hips Don't Lie............Jamaa alitambulishwa kama anatoka Tanzania...........Swali ni; mbona hajulikani Bongo??????????????

Tumi Molekane - Wikipedia, the free encyclopedia



 
Last edited by a moderator:
kwa maelezo ya wikipedia,alizaliwa tz,ila ni mwanamuziki wa SA,nadhani wazazi wake ni wale wapigania uhuru wa pale mg,aliondoka '92,kwa hio inaonyesha alianza muziki akiwa SA.
 
inawezekana ni yule aliyeshiriki project fame ya kwanza akiwa na kina Bodea ambapo Lindiwe wa Zambia alishinda
 
Ishu ni kwamba alitambulishwa kwamba anatokea Tanzania na sio South Afrika

Kuna uwezekano kabisa walikosea na si Mtanzania, sijawahi kusikia majina ya Molekane Tanzania hili linafanana na majina ya bondeni.
 
Here we go Bala:

Tumi Molekane, born in 1981 in Tanzania, is a popular musician from South Africa. A poet, musician and MC, he is famous as the lead singer/rapper of Tumi and the Volume.
[edit] Biography

Boitumelo (Tumi) Molekane was born in Tanzania and lived in exile with his parents until 1992 when he arrived in Soweto.
[edit] Career

While also a noted poet, Molekane has made his fame with the Hip Hop band Tumi and the Volume, backed by the musical component of Mozambiquean band 340ml.
Molekane's poetry has been published in a variety of countries. His project, The Tao of Tumi was completed in 2001. In 2006, he was published in the American literary journal, Subterranean Quarterly.
In 2005, he recorded the song 'Trade Winds' with Cincinnati-based rapper Main Flow. 2006 saw the release of his debut album Music from my Good Eye, through his own label, Motif Records.
 
Huyu ni kati ya wale South Africans walikuwa kule Morogoro wakati wa harakati za ukombozi wa weusi SA....Mazimbu product kwa hiyo si Mtanzania bali alizaliwa Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom