Tumfukuze MUKESH AMBANI?

friendsofjeykey

Senior Member
Aug 12, 2010
129
13
Maana kwa jinsi mentality za JF zilivyo basi huyu naye ataonekana ni ********* na anauhusiano wa karibu na ROSTAM na tatu he's another Johny Foreigner sasa kwa kawaida bila ya haya ushaidi ana fit the profile ya FISADI japo mwenyewe anaipenda Tanzania na anataka kutuletea wawekezaji lakini ndio hivyo tena, he's not white European so we have no option but call him all sorts of names maana ataambiwa anaisaidia CCM pia

huyu hapa:

Indian billionaire pledges huge boost to TZ tourism
 
Endapo kuna dalili zozote za unyayo wa Rostam Azizi na au Edward Lowassa mle basi Watanzania tuandike kwamba ujio wa Tajiri Ambani Mukesh kwamba nayo ni kilio chetu ndani ya bahasha.:redfaces:
 
Kwanza katiba mpya,

Mikataba yote hasa ya rasilimali iwe inapitia Bungeni kabla ya kupitishwa.

Hapo ndiyo tutakuwa salama, Otherwise ni Blah Blah na ufisadi 100%
 
Maana kwa jinsi mentality za JF zilivyo basi huyu naye ataonekana ni ********* na anauhusiano wa karibu na ROSTAM na tatu he's another Johny Foreigner sasa kwa kawaida bila ya haya ushaidi ana fit the profile ya FISADI japo mwenyewe anaipenda Tanzania na anataka kutuletea wawekezaji lakini ndio hivyo tena, he's not white European so we have no option but call him all sorts of names maana ataambiwa anaisaidia CCM pia

huyu hapa:

Indian billionaire pledges huge boost to TZ tourism

as long as you have classified what you call JF members mentality....... mimi sina cha kusema ..... napotezea thread yako..... cause i dont trust your mentality
 
Huyo Friens ofJK ndio katokea wapi tena?

Ukiwahi kung'atwa na nyoka pindi uonapo majani yanatikisika ni sharti utakimbia sana. Hatujali cha Ambani kuleta fedha na 'KUIPENDA TANZANIA' kuliko tunavyoipenda. Wengine wengi kama yeye waliwahi kuja na fedha zikaishia midomonimwao MAFISADI.

Tunasema mikataba yote mipya au hata yale ya kuongezewa muda yasitishwe mpaka kupatikane katiba mpya.
 
Jamani angalieni msije mkamuuzia Serengeti manaake hawa jamaa huwa hawashindwi kitu
 
Hivi kwa nini Ezekiel Maige, Waziri wa Maliasili na Utalii alienda Serengeti kumwona Mukesh wakati wa Faru George alipouawa na majangili hakuenda?
 
Back
Top Bottom