Tumfanyeje Lowassa?

Lowassa mwanasiasa bora ,mahiri,mvumilivu,mchapa kazi ndiyo maana kawateka mawazo yenu kila siku lowassa kwani si kuna wanasiasa wengine kwanini msiwajaliji,tunaelekea karne nyingine na lowassa anasonga mbele kuelekea kwenye ndoto yake,kilichobaki tumshauri tu pale penye makosa ili afike vizuri.mungu ana mpango na kila mtu i mean if god wish lowassa will be the president if not atapumzika
 
Kwa ndani ya c.c.m no one is the best kuliko lowasa ni mtendaji,mtu wa maamuzi,ni mtu anayethubutu,ni mwenye vision pia rekodi yake nzuri kiutendaji,sita ni bonge la mnafiki tena sanasan ndo mana saizi haziivi na mengi kwa sababu ya unafiki wake.membe,mwakyembe,migiro bado hawajaiva hawana uwezo na watakua dhaifu kuliko huyu wa sasa.
 
Kwenye mijadala 100 ya kwenye jukwaa hili amini usiamini mijadala 98 ndani yake halikosi kutajwa jina la Edward Lowassa kwa mema, mabaya kwa kuungwa mkono au kwa kupingwa. Lowassa imethibitika kuwa ndiye nguzo ya siasa zetu hapa Tanzania. Ukimshambulia au kumsifia Lowassa ni lazima utavuta hisia (attention) za jamii ziwe chanya au hasi dhidi yako.

Leo hii Lowassa akiacha siasa kitakachofuatia ni mjadala mwingine kama aachwe apumzike au ashitakiwe. Ndani ya CCM makundi yanayotajwa ni ama wanaomuunga mkono Lowassa au wanaompinga, na nje ya CCM mwanasiasa anayetajwa kama atashindwa kirahisi au atawashinda wapinzani wake ni Lowassa. Inavyoonekana kwenye siasa za Tanzania kumuepuka Lowassa haiwezekani.

Lakini kama taifa tunatakiwa tutoke kwenye mkwamo huu wa jinamizi la Lowassa, kwani kwa hali ilivyo sasa inaonekana kama vile Lowassa ni "Control Machine" ya maisha yetu ya kisiasa. Tuamue kushughulika na Lowassa leo na milele (once for all) ili tubakie na kazi ya kuijenga nchi yetu.

Haiwezekani ionekane kama kwa nchi nzima Lowassa anao uwezo wa kufanya chochote halafu sisi kama taifa tunabaki kumwangalia, kulalamika na kuwayawaya kama swala aliyekoswakoswa na simba. Kama analimiki bunge, mahakama, Serikali na chama chake basi asitumiliki na tusiofaidika na mfumo aliouweka.

Kama hatuna cha kumfanya Lowassa basi tujue huko tuendako kama taifa hatuna heri hata kidogo!!

Huu wa kwako sasa makes it 99! Kaazi kwelikweli...

Kilichokusukuma kumuandika EL sasa ndicho hicho hicho kilichowasukuma predecessors (watangulizi) wako wa mijadala 98 na kitawasukuma wengine watakaoendelea kuanzisha mijadala inayofuata!

Viscious cycle, huh???
 
Kwenye mijadala 100 ya kwenye jukwaa hili amini usiamini mijadala 98 ndani yake halikosi kutajwa jina la Edward Lowassa kwa mema, mabaya kwa kuungwa mkono au kwa kupingwa. Lowassa imethibitika kuwa ndiye nguzo ya siasa zetu hapa Tanzania. Ukimshambulia au kumsifia Lowassa ni lazima utavuta hisia (attention) za jamii ziwe chanya au hasi dhidi yako.

Leo hii Lowassa akiacha siasa kitakachofuatia ni mjadala mwingine kama aachwe apumzike au ashitakiwe. Ndani ya CCM makundi yanayotajwa ni ama wanaomuunga mkono Lowassa au wanaompinga, na nje ya CCM mwanasiasa anayetajwa kama atashindwa kirahisi au atawashinda wapinzani wake ni Lowassa. Inavyoonekana kwenye siasa za Tanzania kumuepuka Lowassa haiwezekani.

Lakini kama taifa tunatakiwa tutoke kwenye mkwamo huu wa jinamizi la Lowassa, kwani kwa hali ilivyo sasa inaonekana kama vile Lowassa ni "Control Machine" ya maisha yetu ya kisiasa. Tuamue kushughulika na Lowassa leo na milele (once for all) ili tubakie na kazi ya kuijenga nchi yetu.

Haiwezekani ionekane kama kwa nchi nzima Lowassa anao uwezo wa kufanya chochote halafu sisi kama taifa tunabaki kumwangalia, kulalamika na kuwayawaya kama swala aliyekoswakoswa na simba. Kama analimiki bunge, mahakama, Serikali na chama chake basi asitumiliki na tusiofaidika na mfumo aliouweka.

Kama hatuna cha kumfanya Lowassa basi tujue huko tuendako kama taifa hatuna heri hata kidogo!!
By Kigarama. Point taken! thanx.
 
Kuna mpiga promo mkubwa wa Fisadi EL hapa jamvini kama Mkuu Pasco!? Kama yuko aliye juu yako katika upigaji promo kwa EL basi mtaje...Wewe ni nambari ONE!!! Hakuna zaidi yako.

Mkuu Ngongo, hapachimbiki kwa sababu hizi ni promo tuu!. JF kwa kupiga promo, siwawezi!. Mpaka sasa EL ndie top politician mostly talked about, akifuatiwa na ZZK then Membe!.
 
Kuna mpiga promo mkubwa hapa wa Fisadi EL hapa jamvini kama Mkuu Pasco!? Kama yuko aliye juu yako katika upigaji promo kwa EL basi mtaje...Wewe ni nambari ONE!!! Hakuna zaidi yako.
Kuna tofauti kubwa kati ya kurusha facts na kurusha promo!. Mimi narusha facts, facts ni hija with supporting evidence. Promo ni kutaja taja tuu majina, bila hoja, pila facts bila supporting evidence!. Hivyo mimi simpigii promo bali ni mshabiki tuu wa EL ateuliwe mgombea wa CCM kama sii yeye, then Membe!. Mind well, mimi sio mwanachama, muumini au mfuasi wa chama chochote cha siasa wala wa mtu yoyote!.
P.
 
Kwenye uzi wako wa promo kwa fisadi EL, uzi huu hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...heshima-yako-jiondoe-kugombea-nec-ya-ccm.html

Nilikuuliza hivi:

Mie naomba nikuulize huu ushabiki wako mkubwa kwa Lowassa unasababishwa na nini hasa kilichowahi kufanywa na Lowassa hadi umshabikie kiasi hiki!? lakini hadi hii leo sijaona facts zozote au supporting evidence za kuonyesha sababu zinazokufanya umpigie fisadi EL promo ya kufa mtu. Sidhani kama kutakuwa na ubaya ukiziweka hizo facts/supporting evidence ili wale tusiokuelewa nasi tuweze angalau kukupata pata kwanini unamfagilia sana fisadi EL.

Lowasa hastahili kuwa raisi japo anajua na ni jasiri kuongoza hii inatokana na kupenda kwake visa na visasi kitendo cha kumfanya vile mwakyembe sidhani iwapo atakua rais mbeya itaendelea kuwa sehemu ya Tanzania!!!Alafu atamshinda nani maana anaogopwa kama ukoma labda apindue nchi
Mh Lowasa has nothing to do with Dr . Mwakyembe. Ukiangalia history utaona ni TISS inayowaandama hao jamaa wa Mbeya. Lowasa amesema ukweli, ndani ya Halmashauri ya CCM, ambao Dr. Mwakyembe aliuficha katika report yake. Lowasa hana chuki na Dr Mwakyembe, lakini Wafuasi wa Vasco waliomtesa Dr. Ulimboka wanatumia mwanya huu kuwafitinisha.
 
Kigarama,
Sidhani kuwa Lowasa anatajwa kwasababu ya mema au mabaya yake. Lowasa anatajwa kwasababu anataka asikike masikioni mwa watu. Lengo la Lowasa ni kuwa Rais wa nchi hii na anaamini kwa dhati kuwa Urais ni haki yake ya kuzaliwa na anapobanwa ni kama kunyima haki anayopaswa kuwa nayo.

Kashfa ya Richmond imemchafua sana, in fact amejichafua mwenyewe. Watu wanasahau kuwa ni yeye aliyesimama mbele ya bunge na kulihakikishia kuwa hakuna rushwa baada ya uchunguzi wa Takukuru.
Angelikuwa mchapa kazi hapa ndipo alipaswa kuanzia, lakini alikubali kuwahifadhi rafiki zake akina RA waliofanikisha mpango wa uwaziri mkuu wake na waliokuwa wanaanda mpango wa urais wake.

Kamati ilitoa taarifa mbele ya bunge na yeye alipewa nafasi ya kujitetea. Tunakumbuka hakusema jambo la maana zaidi ya kudhalilishwa kuonewa na kufedheheshwa sana. Kama aliamua kukaa kimya ili ainusuru serikali hilo ni jambo jema kwake lakini si kwa taifa. Lowasa alisahau kuwa mwizi si yule aliyeiba ng'ombe bali aliyekamatwa na ngozi.

Huko vichochoroni na mbele ya NEC alisimama na kusema Mh Rais ABC. Ni wazi kuwa alikuwa anajua hujuma kwa taifa, kwa uzembe wake na kutowajibika aliamua kuufumbia macho. leo ni kutokana na vimemo na shinikizo la Lowasa tunalipa milioni 160 kila siku, achilia mbali kesi za madaia. Huyu ndiye mchapa kazi tunayeambiwa.

Katika jitihada za kujisafisha kwa kutumia fedha chafu zilizotoka katika madili yake na RA na wenzao, Lowasa ameamua kuwatumia watu ndani ya chama chake, vyombo vya habari na katika mitandao ya kijamii ili kumsafisha.

Majaribio machafu ya 'kuondoa' vizingiti kwa njia haramu yamekwama, na jaribio la kujisafisha bungeni limekwama.
Hana njia nyingine ila kuhakikisha watu wanajiunga katika vyombo vya habari rasmi na visivyo rasmi ili kumsafisha.

Ni kutokana na hali hiyo, lipo kundi kubwa la Watanzania wenye uchungu na nchi hii lislokubali mbinu chafu za kununuliwa ili kumpa nafasi ya uongozi Lowasa ambaye kimaadili ya kiutu, kibinadamu na kikazi hana alichobakiza.
Hapa ndipo unaona anatajwa kila siku.

Kwa Lowasa huu ni mpango anaoutaka ili jina lake libaki masikioni. Kwa bahati mbaya sana Watanzania wana upungufu wa elimu ya uraia. Sidhani kuwa Lowasa ni tatizo kama yeye na wala sidhani kuwa yeye ni Mwarobani wa matatizo yetu.
Lowasa kama alivyo Membe, Sita, Migiro na Mwigulu Nchemba wote wamelelewa katika falsafa iliyotufikisha hapa.

Falasafa ya kuficha uovu, kutumia ulaghai, kusema urongo, kuiba na kupora mali ya umma.Falsafa ya CCM ambayo hata kama malaika atajitolea kuwa kiongozi basi hataweza kukabiliana na mfumo huo.
Hata kama Lowasa ni mchapa kazi akiwa na nguo au uchi bado ni mchafu tu ndani ya uchafu uliotufikisha hapa miaka 50.

Kwa bahati mbaya uchafu wake hasa wa kununua raia na haki zao umezidi kipimo na tumwache apumzike.

Ni wakati tutumie akili zetu kufikiria tutajikwamua vipi kutoka lindi hili la umasikini na si kumfikiria Lowasa aliyesaidia kupigilia msumari jeneza la dhiki. Hakuna mchapa kazi anayeweza kuwaachia raia madeni na dhiki za nishati kwa kumhifadhi rafiki yake au zake.

Tanzania ina watu wenye uadilifu ambao wanaweza kutuongoza kutoka mahali popote.
 
Mtu haadhibiwi kwa ushahidi wa kufikirika.
Kuna watu wameshikwa kwa ushahidi ulio timilifu na wanapeta...Chenge amekamatwa na mabilioni ya wizi benki. Tungekua na nia dhabiti ya kupinga ufisadi tuanzie hapo tulipo na ushahidi wa kutosha.
Lowasa angekua fisadi angeomba rushwa CityWater ili waendelee na mkataba wao.

kwame nkrumah..usidanganyike kuna njia nyingi za kula...kuvunja mkataba mkubwa kama ule ni gharama na serikali iliilpa hela nyingi sana na hapo kulikua na kickbacks zilizotolewa na Mkono advocates kwa waliowapa ile kazi ya kuvunja mkataba. funguka kaka na city water yako. El hafanyi kitu chenye hela bila kupata yeye hizo hela au political milege
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kurusha facts na kurusha promo!. Mimi narusha facts, facts ni hija with supporting evidence. Promo ni kutaja taja tuu majina, bila hoja, pila facts bila supporting evidence!. Hivyo mimi simpigii promo bali ni mshabiki tuu wa EL ateuliwe mgombea wa CCM kama sii yeye, then Membe!. Mind well, mimi sio mwanachama, muumini au mfuasi wa chama chochote cha siasa wala wa mtu yoyote!.
P.

kaka pasco juzi ulisema el ni liability sasa umerudi tena kwake....
 
Kimya kingi kina mshindo mkuu na ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria mh. Lowassa katika siasa ya nchi hii rekodi yake ni mzuri sana hasa katika uwajibikaji na hii ilijionesha dhahili alipojiuzu wadhafa wake kwa maslai ya nchi kwa wakati ule ambao serikali hii ya awamu ya nne ilikuwa bado changa.Katika hilo alionesha ujasiri wa hali ya juu sana,actually is very intelligent katika hili tusibishe kabisa maana angelikuwa mpumbavu angelopokalopoka tu hovyo ama kulaumulaumu tu huku na kule lakini wapi.Tukiachilia masuala ya ukanda,dini,kabila na rangi Mh.Lowassa he may be a good leader for future Tanzania we need,kwani aliyeumwa na nyoka akiguswa na jani tu lazima astuke so kwa yote wanayodhania kumtuhumu Mh.Lowassa katika awamu yake no body can corrupt public funds na hata wale watumishi wezi wote watakimbia ama kuogopa kufanya kazi za umma.Nia hayo tu.
How old are you and how do you value yourself?.
 
Kwenye mijadala 100 ya kwenye jukwaa hili amini usiamini mijadala 98 ndani yake halikosi kutajwa jina la Edward Lowassa kwa mema, mabaya kwa kuungwa mkono au kwa kupingwa. Lowassa imethibitika kuwa ndiye nguzo ya siasa zetu hapa Tanzania. Ukimshambulia au kumsifia Lowassa ni lazima utavuta hisia (attention) za jamii ziwe chanya au hasi dhidi yako.

Leo hii Lowassa akiacha siasa kitakachofuatia ni mjadala mwingine kama aachwe apumzike .....................................
..........................................................................

Kama hatuna cha kumfanya Lowassa basi tujue huko tuendako kama taifa hatuna heri hata kidogo!!

Kwani Lowasa kafanya nini cha ajabu? The man has never been convicted of anything, and if you ask anybody kafanya nini watu wengi hawajui zaidi ya kusikia kwamba ni mwizi, kaiba sana pesa, n.k. No proof what-so-ever!

Hii issue ya Lowasa inanikumbusha habari hii ifuatayo iliyowahi kutokea Ugiriki kwa akina Socrates: In ancient Greece, Socrates was reputed to hold knowledge in high esteem. One day an acquaintance met the great philosopher and said, “Do you know what I just heard about your friend?”
“Hold on a minute,” Socrates replied. “Before telling me anything I’d like you to pass a little test. It’s called the Triple Filter Test.”

“Triple filter?”

“That’s right,” Socrates continued. “Before you talk to me about my friend, it might be a good idea to take a moment and filter what you’re going to say. That’s why I call it the triple filter test. The first filter is Truth. Have you made absolutely sure that what you are about to tell me is true?”

“No,” the man said, “Actually I just heard about it and ...”

“All right,” said Socrates. “So you don’t really know if it’s true or not. Now let’s try the second filter, the filter of Goodness. Is what you are about to tell me about my friend something good?”

“No, on the contrary…”

“So,” Socrates continued, “you want to tell me something bad about him, but you’re not certain it’s true. You may still pass the test though, because there’s one filter left: the filter of Usefulness. Is what you want to tell me about my friend going to be useful to me?”

“No, not really …”

“Well,” concluded Socrates, “if what you want to tell me is neither true nor good nor even useful, why tell it to me at all?”

Utajaza mwenyewe! Infact, if you ask me for the presidency of this great nation, I will take Edward Ngoyai Lowasa over any of them other jokers Sumaye, Membe, Slaa, Mbowe, et al!!! But again, nobody is asking....and I will excersice my right to vote when the time arrives. My opinion and I am entitled to it, believe that!!!!
 
Tususie kuandika taarifa zake zote nzuri ila tumuandame kwa kufichua maovu yake yote ikiwamo kutumiwa na usa ili akiingia madarakani aaendelee kuhujum nchi kwa kuwafavour wamarekan

Absolutely absurd blanket statement, if you ask me!! But hey, you are entitled to your own opinion.
 
kaka pasco juzi ulisema el ni liability sasa umerudi tena kwake....
Mkuu Mharakati, EL alikuwa ni mtaji ili CCM ishinde 2015. Baada ya serikali ya CCM ku set aside "safety net" ya Sh. Bilioni 400 ambazo itazigawa kwa wananchi masikini kama ruzuku, then 2015 CCM itashinda with or without EL!, kwa vile Membe ndie mtu wa JK, then by now EL is a liability kwa CCM anachosubiri huko ni disporsal only!. Nilichosema wakati nimfagilia EL, mimi sikumfagilia ki "promo" type, nilimfagilia with reasons na ndivyo hivyo nitakavyofanya wakati debe nikilielekeza kwa Membe!. Kwa vile mimi ni miongoni mwa wanaotamani ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania, yoyote kati yao awe EL au Membe, wote wawili ni mtaji nzuri kwa ukombozi wa Taifa!.
P.
 
Kwenye uzi wako wa promo kwa fisadi EL, uzi huu hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...heshima-yako-jiondoe-kugombea-nec-ya-ccm.html

Nilikuuliza hivi:

Mie naomba nikuulize huu ushabiki wako mkubwa kwa Lowassa unasababishwa na nini hasa kilichowahi kufanywa na Lowassa hadi umshabikie kiasi hiki!? lakini hadi hii leo sijaona facts zozote au supporting evidence za kuonyesha sababu zinazokufanya umpigie fisadi EL promo ya kufa mtu. Sidhani kama kutakuwa na ubaya ukiziweka hizo facts/supporting evidence ili wale tusiokuelewa nasi tuweze angalau kukupata pata kwanini unamfagilia sana fisadi EL.
EL na Membe can make the best pace makers kwenye mbio za kuelekea ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania!.
By being a pace maker alone nadhani its the biggest reasons behind!.
P.
 
kwa upande wangu mimi nafikiria lowasa is the best man hii haina mjadala amefanya mambo makubwa sana nchini na hata rafiki yake kikete anajua yote haya
 
Naona bado unajikanyagakanyaga kuhusiana na promo la nguvu unalompigia fisadi EL. Ulichoandika si fact(s)/supporting evidence kama ulivyodai kabla bali ni assumption ya Pasco kama ile assumption ambayo baadhi ya Watanzania waliokuwa nayo kuhusiana na Kikwete kwamba ni "Chaguo la Mungu"

Wote hawa wamekuwa ndani ya Serikali kwa miaka chungu nzima sasa. Kama wangekuwa na ni "best pace makers" kwenye mbio za kuelekea ukombozi wa pili wa kweli kwa Mtanzania basi hizo cheche zao zingeshaonekana na Watanzania wengi.

Fisadi EL alikuwemo kwenye Baraza la Mawaziri wakati mikataba iliyowaingiza Watanzania kwenye mkenge ikiandikwa. Mikataba hiyo ni ya ununuzi wa rada, uuzwaji wa nyumba za Serikali, mikataba ya kuchimba madini mbali mbali ya Tanzania, IPTL, Richmond/Dowans lakini hakufurukuta hata mara moja katika kuonyesha huo upace makers unaoudai hapa.

Hadi hii leo hajatia neno hata moja kuhusiana na ufisadi mbali mbali uliokithiri ndani ya Serikali. Hajasema lolote kuhusu wizi wa EPA, kuhusu richmond/dowans kama wanastahili kulipwa $95 million au la, kuhusu wizi wa Mkapa wa KCL, kuhusu ukwapuaji wa nyumba za Serikali uliofanywa na Mkapa akishirikiana na Magufuli, kuhusu mikataba ya uchimbaji wa madini ambayo haina maslahi yoyote kwa Watanzania n.k.

Yuko busy kujipigia debe na kuchagua vitu ambavyo anaviona ni rahisi rahisi kuvizungumzia kama "Elimu Kwanza" badala na zile issues nzito ambazo zinaitafuna Tanzania kwa kasi ya kutisha.

Huyu EL ni fisadi tu anatafuta nafasi ya kuingia Ikulu ili aweze kukaa mkao wa kula na kuendeleza ufisadi wake lakini kamwe hawezi kuwa kiongozi ambaye atakayeweza kuleta mabadiliko yoyote kwa Tanzania na Watanzania.

EL na Membe can make the best pace makers kwenye mbio za kuelekea ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania!.
By being a pace maker alone nadhani its the biggest reasons behind!.
P.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom