Tumewagaragaza CCM

ccm wakileta kata walizoshinda jf itajaa, jiamini tu ndg yangu au ulikuwa hutegemei ushnd nn? Subri gharika la igunga likifika kg kwa kafulila, ndio utakitambua chama cha magamba.
Khaa!Unaongea nini wewe?Mnajivunia ushindi wa wizi wa kura?Na ktk hilo jimbo la Kafulila kwanini hayo maneno usingeyaongea ktk ujachaguzi wa 2010?Ovyooo!
 
Jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye Kijiji cha Magulilwa Kata ya Magulilwa kwenye Halmashauri ya Iringa Vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

CHADEMA - Kura 475

CCM - Kura 290

Ni hayo tu wandugu.

Huo uchaguzi ulikuwa wa nini? M/kit wa kijiji, diwani au ?
 
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji


You must be out of your mind. kama unadhani post hii haikufai ondoa upuuzi wako. kuna tatizo gani? kwani hujajua maana yake ni nini? hapo unaambiwa hata vijijini kazai imeanza kwa kasi kubwa.
 
Hii ni indication kwamaba CHADEMA inakubalika hadi Vijijini siku hizi!
 
kwa kijiji alichotaja "magulilwa" hakika cdm wanastahili kujipongeza. mkoa wa iringa ukiacha mjini pale kwingine huku wananchi baaado sana! hasa jimbo la Prof msola ndo kabisaaaa so inapotokea hali kama hii real its a step
 
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji



Chama cha KIJANI kinapata viti vingi vya ubunge (na kura nyingi za uraisi) kwa sababu kimejiimalisha kwenye mashina nchi nzima. Vyama vingine vinakuwa kwenye baadhi ya vijiji.
Sasa wamegundua siri!!!!!!
 
Mkuu sio tofauti ndogo,Magamba walichakachua
Ni kweli tunajua kwamba walituchakachua kwa mfano kwenye kijiji cha Mahanzi mgombea wetu wa nafasi ya uenyekiti aliwekewa pingamizi eti kwa sababu tu ni mwenyekiti wa kamati ya ugawaji wa Pembejeo wa kijiji.

Mwanasheria wa Halmashauri hata tulipopeleka rufani yetu na kumwelewesha kwamba kinachokataliwa ni kufanya biashara na halmashauri bila ya kutangaza mgongano wa kimaslahi, lakini mwanasheria hakutusikiliza. Jambo pekee tulilojifunza ni kwamba watendaji wengi wa Halmashauri ni waoga wa mabadiliko kwani wengi wao wenyewe ni MAFISADI.

Nafasi tulliyoshinda Magulilwa ni Uenyekiti wa Kijiji!!
 
Back
Top Bottom