Tumewagaragaza CCM

Mpaka 2015, CCM itakuwa imeshazikwa, hongera chadema

Dua la kuku halimpati mwewe. Hivi mnafikiri ni rahisi ki hivyo. Oteni ndoto za mchana wa saa nane tu!! CCM GARI KUBWA. Ndio maana tunasema na nyie mnajua kuwa CCM Ni No 1.

Thanks and Regards,

Kada wa CCM.
 
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji

Si mlisema CDM aijafika vijijini?? huo ni ushahidi wa mtandao wa CDM. Anzeni kutoa posho kwa mabalozi wa nyumba 10 sasa labda wataanza kuwajibika.
 
Ala haula! Hii ni habari njema sana kwa wanaharakati wote na ant~magambas wote!!! Mleta habari tumekusoma na tumekuelewa, na tunakushukuru sana. Peoplesssssss.............. - Pawaaaaaaaaaaaaa........
 
Safi sana, hadi kieleweke, elimu ya uraia tuendelee kuitoa kwa wasioelewa maana ya mabadiliko.big up chadema.
 
Bandu bandu humaliza gogo. Hongera sana CDM, maana kidogo kidogo hujaza kibaba
 
jumapili ya tarehe 18/12/2011 kumefanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa kata ya magulilwa kwenye halmashauri ya iringa vijijini, na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

Chadema - kura 475

ccm - kura 290

ni hayo tu wandugu.

ccm wakileta kata walizoshinda jf itajaa, jiamini tu ndg yangu au ulikuwa hutegemei ushnd nn? Subri gharika la igunga likifika kg kwa kafulila, ndio utakitambua chama cha magamba.
 
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji

Umekosa vya maana kupost?
OTIS
Kama hii ni crap nyie mmetokea wapi humu jamani? kama GB unajua matokeo ya vijijini yakiwekwa humu hapatakalika kwanini usiweke tukajionea magamba mnavyopeta? ili ujue post hii ni muhimu kuliko mlivyoi-rate jifunze gharama ya demokrasia..
 
ccm wakileta kata walizoshinda jf itajaa, jiamini tu ndg yangu au ulikuwa hutegemei ushnd nn? Subri gharika la igunga likifika kg kwa kafulila, ndio utakitambua chama cha magamba.
Kama uliyoandika yanatoka moyoni haya tuambie ni gharika ipi hiyo ilitokea igunga, au uliletewa matokeo hukupenda kufuatilia mwenyewe?? Kama ulifuatilia sikufundishi nini cha kusema lakini nafsi itakusuta tu hata ukiipamba vipi magamba
 
......................Hesabu yeyote ile huanzia na moja......................

Pipizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...................
 
Ilikuwa ngumu sana kusikia cdm imeshinda vijijini ushindi japo mdogo wa cdm kwenye kijiji flani ni hatua kubwa ni sawa na kumwita kiziwi akakusikia na kukuelewa HONGERA CHADEMA
 
Ha ha ha aaaaaaaaaaaaaa, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap hakuna kitu hapa. Hivi tukianza na kuweka matokeo ya vijiji humu JF patakalika humu ndani ?????. Hii thread haina mashiko ndio maana imekosa wachangiaji

wewe uliyeichangia tena wa kwanza kabisa, kilikucheza ulivyoiona au?
 
oh big up cdm huko ni iringa kwetu banaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
The end justify the means
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Hivi mnafikiri ni rahisi ki hivyo. Oteni ndoto za mchana wa saa nane tu!! CCM GARI KUBWA. Ndio maana tunasema na nyie mnajua kuwa CCM Ni No 1.

Thanks and Regards,

Kada wa CCM.
CCM No 1 kwa wizi.....
 
Back
Top Bottom