Tumewagalagaza tena CCM!!

CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!

Yani Vijikata, Vijiji, Mitaa na Majimbo yasiyozidi hata 5000 ndiyo yatajaza Server ya JF. Kweli wewe ndio maana NAPE alikubatiza REJAO!
 
ok..ok...ok... CDM wanashinda then wanafukuzana!! Hii akili au matope???

Sasa utalazimisha kumfuga Kunguru wakati hafugiki. Yani wewe Rejao ni mpuuzi sana. Siku nikikukamata ntakupiga mpaka uikome JF! Una bahati juzi juzi nilikuona kwenye harusi bahati mbaya uliwahi kuondoka baada ya Msosi!
 
Okay CDM kama mmeanza kwenda vijijini basi 2015 hali utakuwa saaaafi. msisahau na Pemba kwa Maalim maana yule anajifanya mfalme kule.
 
huko kuna jembe langu lilikuwa nccr nimeongea naye wiki iliyo pita na kumshawishi ajiunge na cdm nadhani watu wa huko mnamtambua bonus jiandaeni kumpokea ni mwana mageuzi wa kweli
 
Si mwenyekiti wa Chama kile cha zamani alisema Chadema ni chama cha msimu ? Then wakaja wajinga hapa akina Ritz na wezi wenzake wakasema ni chama cha kaskazini ? Leo huko ni Moshi ?
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!

Hizo ni salaamu kwa Chama Cha Magamba -CCM,wakae wakijua mwaka 2014 hata kijiji cha Msoga nyumbani kwa mwaenyekiti wao lazima CDM tusimike bendera yetu pale,nilikuwa pale kijijini Msoga last week hata wanakijiji wa pale wanasema hawamtaki,kwani hana jipya shida mtindo mmoja,hawana hata ada za kulipia watoto wao waliofaulu fomu wani,wanasema aliwaahidi ajira na mambo mengimengi lakiniamewatosa,yeye na anga anga na yeye kwa Kameruni.
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!

Napata faraja sana kusikia chadema imeshinda vijijini, dalili nzuri sana ya ukombozi wa mtanzania
 
Imekaa njema sana wadau hiyo, wana wanadhani tunatania, watakuja kuisoma mwaka 2015,Big up sana Makamanda.
 
mimi naona habari yenyewe haina mashiko, ni upupu mtupu; kwanza hivi ni vijiji vya wapi? Tanzania kweli?
 
[bibieeee bibieee " ma,a Jane bai bai " x3 mimi nilikupenda sana mapenzi yangu yoteeee.............] x2
 
mimi naona habari yenyewe haina mashiko, ni upupu mtupu; kwanza hivi ni vijiji vya wapi? Tanzania kweli?
OK upupu wa habari ni kwa sababu hufahamu vijiji hivi viko wapi

nilicho kigundua kwako ni uvivu wa kutafiti kifupi jamaa ameandika location yake tofauti na wewe ambaye huandiki
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!

Allenkilewella

Hii ni dallli njemakwa Chama makini kama CHADEMA. Mimi nawashauri viongozi wa CDM ngazi za juu waendelee kuimarisha chama hukovijijini ili inapofika 2015 huku tukiwa na Katiba Mpya basi CHADEMA ichukueuongozi wa nchi kwa mara kwanza maana hiri ri-CCM rimetuchosha kabisa wajameni.

Back
Top Bottom