Tumewagalagaza tena CCM!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,291
33,894
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Udekwa, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!
 
Du, hòngera sana, naomba kujua, nilikuwa ukwega last month tar 18, na mwenyekiti alikuwepo, na akaniuzia soya ya njano, what happened then? Au ni uchaguzi wa nini maana hutuambia!
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!

Peooopleeeeees PoweEEeeeeeeeeeeer
 
Du, hòngera sana, naomba kujua, nilikuwa ukwega last month tar 18, na mwenyekiti alikuwepo, na akaniuzia soya ya njano, what happened then? Au ni uchaguzi wa nini maana hutuambia!
uchaguzi umefanyika leo. usije ukawa umechanganya Udekwa na Ukwega
 
uchaguzi umefanyika leo. Usije ukawa umechanganya udekwa na ukwega

wewe kwani roho imekuhuma?? Maana uonyeshi furaha, itakavyokuwa bana sie tumefurahi sana ushindi ni ushindi tu hasa kwa kuwa mambo yenyewe yametokea vijijini, huku mjini tumejipanga kiukweli kwa vyovyote kushinda pia zaidi tuko tayari kuzilinda kura zetu dhidi ya mijizi ccm yalozoea kushinda kwa kutuibia kura zetu, peopleeeeeeeeeeez powerrrrrrrrrrr
 
uchaguzi umefanyika leo. usije ukawa umechanganya Udekwa na Ukwega

ni Ukwega mkuu, si unapita ipalamwa then ukwega. Mi nilifika pale kikazi nikaomb kuonana na mwenyekiti nikapelekwa nikaongea naye mambo yetu na akaniuzia soya. Ni kijana hiv mweupe. Wakuu kama ni kweli basi ni kimbunga cha mabadiliko, aisee ni mbali, ndo vijiji vya mwisho kbs kijiografia kwa wilaya ya kilolo kama ukwega
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!

Hongera sana CDM. Hii kazi ndo naililia kila siku kuwa CDM waende vijijini ili 2015 tutwae nchi
 
hizo ni salamu kwa ccm na magamba yao, wajipime jinsi gani tunavyowachukia, hongera cdm
 
Back
Top Bottom