Tumevumilia sana

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10
Wananchi Tumevumilia sana,Tumesubiri sana tumeonewa sana ,tumeteseka sana, Yote haya tumefanyiwa na serikali ambayo tunaiweka madarakani kwa matarajio kuwa itatusasidia ila hakuna msaada wowote tuupatao toka kwa viongozi wa serikali,Bunge na Mahakama sasa kuna kila aina ya sababu kufanya maamuzi magumu sisi wenye nchi wewe katika muono wako ni maamuzi gani magumu tunayotakiwa kuyafanya
 
Serikali hii ya kuchakachua....

Hata maoni yangu yatachakachuliwa.

Tuiache imalize muda wake ila tuwe wallimu wa jamii zetu kuhusu umuhimu na thamani ya kura zao,
si sawa na kanga au kofia
 
Wananchi Tumevumilia sana,Tumesubiri sana tumeonewa sana ,tumeteseka sana, Yote haya tumefanyiwa na serikali ambayo tunaiweka madarakani kwa matarajio kuwa itatusasidia ila hakuna msaada wowote tuupatao toka kwa viongozi wa serikali,Bunge na Mahakama sasa kuna kila aina ya sababu kufanya maamuzi magumu sisi wenye nchi wewe katika muono wako ni maamuzi gani magumu tunayotakiwa kuyafanya

Is that thing between your ears really working???
 
Back
Top Bottom