Tusiwalaumu sio makosa yao, wamejitahidi hata kule kupeperusha bendera yetu ni heshima kubwa. Kilichobaki ni kutafakari na kutafuta kosa liko wapi litafutiwe ufumbuzi ili ifikapo 2016 tuweze kujipanga vizuri tukijifunza kutokana na makosa yetu ya awali.