Tumesikia kilio cha Wapinzani,wakurugenzi mwisho kusimamia Uchaguzi-Lubuva

Mie sioni tofauti, hebu nielewesheni tofauti mmeiona wapi kwa wale mliyoiona.
 
Yaani bure kabisa, unaajiri watu nchi nzima na wanasubiri tu kusimamia uchaguzi, na uchaguzi hufanyika once in 5 yrs meaning baada ya uchaguzi hawa watu wote watakaa na kupokea mshahara bure hadi uchaguzi ujao.,,., umaskini wa mawazo ndio umaskini mbaya mno kama wa Lubuva.
 
Back
Top Bottom