Tumesikia kilio cha Wapinzani,wakurugenzi mwisho kusimamia Uchaguzi-Lubuva

Kidooogo inaleta matumaini! Ila tukumbuke yeye mwenyewe ni mteule wa rais, hawa wafanyakazi wakudum wanaweza kuboronga hata kuliko hao wakurugenzi ikiwa watakiuka mashart watakayopewa ya kufanya kazi!
 
sidanganyiki... ikiwa hata bunge linafanya maamuzi kufuata matakwa ya serikali itakuwa tume ya uchaguzi ambayo hata mwenyeliti wake anateuliwa na rais tena kama zawadi ya uzeeni hizi sarakas kama sarakas zingine za ccm kupoza upepo.
 
Anawapataje, Kama mtu mmoja anaweza kuteua 70% ya ma DC from his own friends, inakuwaje ashindwe hapa? Bora ya wakurugenzi
 
Kweli ni mapema sana kuseam lolo kuhusu lubuva kwani ccm bado wanamlia timing akishaingia kwenye kuminanane zao utasikia mtamkumbuka jaji makame.
 
Madai ya katiba mpya yanayotaka tume huru ya uchaguzi isiyo na 'urais' kuanzia appointment mpaka utendaji hayawezi kufifishwa na danganya toto kama hizi.
 
Kama itakuwa kweli kheri, lakini wasiwasi wangu wanaompa hiyo bajeti ni walewale wanaofaidika na mfumo huu uliopo.

Ngoja tumpe muda labda anaweza kuweka historia ya pekee katika hii NEC.

Ni kweli tumpe muda tuone kama atatekeleza
 
What is the difference, Kama Tume yenyewe tunailalamikia kuwa si huru, je hawa watu watakuwa fair? Hawatafanya watakayoagizwa Na bosi wao? I do not see the point. Nafikiri Hali itakuwa ileile, Watanzania wale wale.
 
Kidooogo inaleta matumaini! Ila tukumbuke yeye mwenyewe ni mteule wa rais, hawa wafanyakazi wakudum wanaweza kuboronga hata kuliko hao wakurugenzi ikiwa watakiuka mashart watakayopewa ya kufanya kazi!

Naona Lubuva amekuja na ndoto mpya. Kwani hao watumishi watakaofanya kazi badala ya wakurugenzi ndiyo watakuwa huru wakati tume yenyewe siyo huru? Tanzania hatakosi kuona vituko.
 
Mwanzo mzuri kwa huyu mzee.Tumwombee asipitiwe na mapepo yakamvuruga akili yake

Mwanzo utakuwa mzuri kwenye uchaguzi wa Arumeru ndio tutajua yuko upande gani, lakini hata ivyo tayari ameshajulikana yuko upande wa aliemteua. Kwani bila kufanya anavyotaka boss wake kesho yake kazi hana.
 
Back
Top Bottom