Tumepokea taarifa kwa mshtuko-MBOWE

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Anasema j'm0s watatoa tamko,ila anadai kes ni ya kubambikiza,na fununu walizopata ni kuwa walijua watashndwa,na maamuz hayakua ya haki,though wanaheshim MAHAKAMA
DW RADIO
 
mbowe nae gamba tu.. utulivu wa nini hapo badala ya kutuhamasisha kuingia msituni tu
 
Twendeni tu tena kwenye sanduku la kupigia kura muone kama thithiemu hawachapwi tena?
 
Kama ilivokuwa arumeru,kiwira,lizaboni basi ndivo itakavokuwa na A town bila shaka mahakama inataka kupimana ubavu na nguvu ya umma,ipo siku mahakama nayo itatuheshimu,
 
Hili si la kuogopa..magamba wanaweza kujutia....ni nafasi nyingine kwa chadema kujijenga..... kabla ya uchaguzi.kinachoniuma ni hizo fedha za walipa kodi zinavyotumika ovyo...sijui tunakwenda wapi....let wait and see
 
Mi nasemaje? Tume ya uchaguzi iitishe uchaguzi HATA KESHO NA WASIRUHUSU KAMPENI HATA YA LISAA LIMOJA AFU TUONE HUYO MALAYA KAMA ATAVUNA JAPO NUSU YA ALIZOPATA 2010! HUO UKANDA TULISHASEMA MAGAMBA YASAHAU, HAYANA NAFASI, PERIOD!
 
Hili si la kuogopa..magamba wanaweza kujutia....ni nafasi nyingine kwa chadema kujijenga..... kabla ya uchaguzi.kinachoniuma ni hizo fedha za walipa kodi zinavyotumika ovyo...sijui tunakwenda wapi....let wait and see
 
Lazima washtuke sana wanajua kuwa jimbo hilo kulitetea ni sawa na kuku kukamuliwa maziwa!
 
formation n 3-5-2 labda hao ccm wapite juu,wanatakiwa kujua sasa sio enzi za tanu vijana ndio nguvu ya mabadiliko,tumetoka arumeru na sasa ni town hapo no way out ccm.....c hatuziamin falsafa za mwenda pole
 
Back
Top Bottom