Tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo..

Mar 13, 2012
52
12
Tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo, tumegombania pamoja mashato, tumepiga deshi pamoaj, tumepiga shato pori pamoja from bibo to mlimani, tumedesa pamoja, tumekamatwa (kuliwa vichwa) pamoja na karagami, leo ndugu yangu when it comes to distribution of national cake, waniambia mm si mtanzania mzalendo, inauma sana but jua ya kwamba dhambi ya ubaguzi itakuangamiza one day...nitaendelea na mapambano kujikumboa mm na wale wote ambao wameadhirika na mfumo unaokandamiza haki za walio wachache ( Minority Rights). As long as nina haki ya kupiga kura basi jua kwamba mchango wangu ni muhimu sana katika hayo mnayoyaita mapambano ya kidemokrasia.
 
Huu ni ujumbe kwa wote wanao endekeza, chochea na kushabikia ubaguzi wa any forms, uwe wa kijinsia, kirangi, kikabila, na asili ya mtu.
 
tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo, tumegombania pamoja mashato, tumepiga deshi pamoaj, tumepiga shato pori pamoja from bibo to mlimani, tumedesa pamoja, tumekamatwa (kuliwa vichwa) pamoja na karagami, leo ndugu yangu when it comes to distribution of national cake, waniambia mm si mtanzania mzalendo, inauma sana but jua ya kwamba dhambi ya ubaguzi itakuangamiza one day...nitaendelea na mapambano kujikumboa mm na wale wote ambao wameadhirika na mfumo unaokandamiza haki za walio wachache ( minority rights). As long as nina haki ya kupiga kura basi jua kwamba mchango wangu ni muhimu sana katika hayo mnayoyaita mapambano ya kidemokrasia.

by.zitto z.kabwe!
 
Back
Top Bottom