Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Naomba tumwamini tu..huyu ni mdau au unataka hadi a-scan copy ya ticket yake?...hapana bado hatujafika huko.Thibitisha kama ulikuwepo hapo!
Mkuu hujawahi kusafiri nn? Kuna ajabu yoyote yeye kuwa mmoja wa abiria katika hiyo ndege?Thibitisha kama ulikuwepo hapo!
Inategemea mlikuwa uwanja gani. Kuna baadhi ya viwanja si vikubwa hivyo hata gates za kuingilia ndani ya ndege huwa ni chache. Hiyo husababisha baadhi ya ndege kupandisha abiria katika mtindo huo kwenye picha. Bado kuna sababu nyingine nyingi kama vile delay ya flight husika, nk. Hata hivyo ni kitu cha kawaida kabisa hicho.Wakuu nilikuwa Ujerumani ikabidi tpandishwe Airbus 380, ile ndege ya double decker kwa ngazi. Nadhani kulikuwa nahitilafu kwenye zile bridges za kupandia
View attachment 69442
View attachment 69443View attachment 69441
Thibitisha kama ulikuwepo hapo!
Bwa ha ha ha ..dogo unafikiri wote humu JF tunasoma UDOM?
Mkuu hujawahi kusafiri nn? Kuna ajabu yoyote yeye kuwa mmoja wa abiria katika hiyo ndege?
Mwacheni mtoa mada athibitishe. Mbona mimi juzi juzi nimepanda Jumbo Concorde pale France, mnabisha niwathibitishie
mleta mada siku nyingine wakikuletea mingazi yao ANDAMANA.
thibitisha kama wewe siyo chizi..hahahaha
Pole ndugu siku nyingine usafiri na ngazi yako mwenyewe!
Pole ndugu siku nyingine usafiri na ngazi yako mwenyewe!
kila mpanda ngazi hushuka.............bado uko juu?