Tumempeleka Lissa Jensen Miss World Kufanya NINI Haswa?? Nisaidieni...

Dan4d Hamissi

Member
Jul 14, 2012
34
6
Mpaka kufikia muda huu Wenzetu Kenya wameingia Nusu fainali sisi Je?? Hatupo poppet hata 30 Bora hatupo!! Mrembo peles aliyeleta heshima hapa nchini na barani Africa ni Nancy Sumari winging kazi Yao ni Kufanya shooting na Diamond!!?? Kweli??!! Namna hii tutafika kweli?? Olympics tumeshindwa!! Mtu tumempa bendera ya taifa 30 Bora hajaingia?? Hao Kenya walioweza Wana nini Cha kutuzidi?? Tafakari.......
 
Ankali Hashimu Lundenga atakuwa anakula mambo yetu yale muda huu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Neno la faraja, kama kawa kama dawa: Tunajipanga kwa mashindano yajayo.Tumejifunza...

hivi haya mashindano ya mapedeshee kuchagua wanawake wa kuwamega bila kula chabo yalifanyika mwaka huu? Sijawahi kusikia zaidi ya yale ya vitongoji vya jiji.
 
Mimi nashukuru kwasababu kashindwa, haya mashindano yenyewe ni hopeless kabisa.
 
Mpaka kufikia muda huu Wenzetu Kenya wameingia Nusu fainali sisi Je?? Hatupo poppet hata 30 Bora hatupo!! Mrembo peles aliyeleta heshima hapa nchini na barani Africa ni Nancy Sumari winging kazi Yao ni Kufanya shooting na Diamond!!?? Kweli??!! Namna hii tutafika kweli?? Olympics tumeshindwa!! Mtu tumempa bendera ya taifa 30 Bora hajaingia?? Hao Kenya walioweza Wana nini Cha kutuzidi?? Tafakari.......

Wabongo labda kama mashindano ya viduku tunaweza kushinda'au bongo flava
 
Anang'aa kama bingo mtoto aniishi hamu aeee kila siku nipo nae hila mapenzi yake ndio nomaa eee baadaeeee badaaeeeeee!
 
nimeshangaa sana south sudan pamoja na matatizo ya nchi na nchi changa lakini ameingia kwenye nafasi nzuri hii inaleta picha gani? sijui huwa sisi tunatumia pesa nyingi sana kwa ajili ya hayao mashindano ni bora waangalie mbinu mbadala jamani hata kwenye olyimpic tukiwapeleka wamasai kwa kurusha mikuki naamini tungetoka na kimedali ila sisi tunaangalia matumbo yetu dah bado sana kufika tunasafari ndefu nduguzanguni.
 
Si kama wale tu kwani wengine unafikiri walikuwa wanaendaga kufanya nini? kujifunza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom