Elections 2010 Tumelinda na hawajachakachua

Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,340
664
shughuli haikuwa nyepesi wana JF kwani imetuchukua zaidi ya masaa 7 kuccomand matokeo yawe released na kuhakikisha kuwa hakichakachuliwi kitu..
mbunge wetu Msigwa ( CHADEMA -iringa mjini ) kapita..ila madiwani ndo kuna utata kura zimehesabiwa upya kwani hatukujua kimetokea nini ila madiwani wetu wameshindwa..mbunge wetu katuaidi mambo yatakuwa poa zaidi..
:israel:
 

Attachments

  • Image081.jpg
    Image081.jpg
    199.1 KB · Views: 55
  • Image073.jpg
    Image073.jpg
    212.8 KB · Views: 59
  • Image077.jpg
    Image077.jpg
    141.9 KB · Views: 53
  • Image085.jpg
    Image085.jpg
    205.5 KB · Views: 48
  • pic.jpg
    pic.jpg
    207.4 KB · Views: 54
Hongera sana wanairinga. tuafuraha sana kwa ajili yenu
 
kwamba wanamageuzi walikua wanapiga kura ya ubunge kwa chadema afu udiwani kwa ccm, sitegemei sehemu tulizoshinda ubunge tusipate majority katika udiwani, unless wachakachue
 
Back
Top Bottom