Tumekuwa madaraja

I couldn't say it better... well said bht...

sasa wanalalamika nini hapa? Actually men love bitches, bitches I mean women who treat them bad...

Do you have any proof to support your statement?
 
King wapo wanawake wakweli na wapo waongo... wewe tafuta vizuri tuu utapata...
a
lakini mie naswali moja kwanini wanaume cant handle pressure..? eti akiwa ana pressure kazini ana anza kuwa mlevi.. akikataliwa na mwanamke anatafuta ulevi... tuseme ndo wanaume wamekuwa dhaifu au chickens? whatever happened to real man who can handle the life and overcome all l the obstacles?

binafsi sina haja ya kutafuta demu bali nimeuliza in general. Suala la presha ni ishu ingine. Pia inategemea mtu na mtu na aina ya uhusiano uliopo, au mazingira
 
Do you have any proof to support your statement?

Well I support Noname, I have not done a research but random samples of real life relationship will do that. Infact men love women who are easy to get and those referred to by NN.
 
Please share with us your random samples. Ilikuwa ya wanaume 10, 100 au 1,000? Kila siku tunasikia kwa Wanaume wengi kwamba nyumba ndogo zinashamiri kutokana na huduma nzuri huko kwenye nyumba ndogo ukilinganisha na majumbani mwao. Halafu nyie mnadai Wanaume wanapenda wanawake wanaowatreat vibaya. Mambo mengine ambayo hamyajui ni bora muwaache Wanaume wenyewe tuongee badala ya kujifanya mnajua kila kitu. To love women who are easy to get is very different from loving women who treat men badly.
 
naona si soka peke yake unamudu. Hata malovee. Wape somo. Pia wanaume wanapenda wanawake wenye tabia za kimalaya hivi, si malaya. Hata mke awe na hizo quality kwa mmewe. Ila ni kwa nini hawa wanawake wapo kimaslahi zaidi?
 
love is blind, so they say. ishu hapa ni kwa nini hawa wadada wanayafanya haya?[/QUOTE]

Kwanza kabisa huyo jamaa yako hakupaswa kuchanganyikiwa, the moment alipokubali kurudiana na huyo binti tena baada ya binti kugundua kuwa shule inamshinda, huyo jamaa alipaswa asome alama za nyakati na agundue kuwa anatumiwa, kwa hiyo naye alipaswa amtumie tu huyo binti.
kuna siku tulibishana sana na rafiki yangu wa kike, yeye alikuwa anadai men are there to be used, na mimi namwambia kuwa but they are not there to be misused. chanzo cha huo mjadala kilikuwa kuna mdada kwa kweli (according to me) alikuwa anam-misuse yule mkaka, mpaka nilikuwa namwonea huruma. yaani yule kaka alikuwa kama mtumwa. haya ndo hayo ya jamaa yako, anatumiwa wakati wa shida tu, na huko ni kuwa misused
 
pombe za nini wakati alishamuonyesha kuwa si mwaminifu tangu mwanzo,mwambie wako wengi hao atulie atapata mwingine,pia mshauri asiwe na mwanamke mmoja ajitahidi awe nao angalau wawili ili mmoja akitoka anabaki na mmoja na huku anaangalia jinsi ya kuongeza mwingine, hao ni viumbe vyetu mungu katugea
 
Mbona mimi nilisaidia sana dada mmoja mpaka akagraduate, nilikuwanakesha ili nimmfanyie mambo ili afaulu. Ni kweli baadaye aligeuka tabia lakini uzuri mimi sikuwa na nia ya ile kitu ndo pona yangu.
 
sasa huyo wifey wako hukumsowa btn her lips kujua kuwa anakutumia? Lakini tunaweza kumlaumu mshkaji bure kwa kupenda. Kupenda si mchezo, ndugu
pombe za nini wakati alishamuonyesha kuwa si mwaminifu tangu mwanzo,mwambie wako wengi hao atulie atapata mwingine,pia mshauri asiwe na mwanamke mmoja ajitahidi awe nao angalau wawili ili mmoja akitoka anabaki na mmoja na huku anaangalia jinsi ya kuongeza mwingine, hao ni viumbe vyetu mungu katugea
ushauri wako ndugu mh! Kama akiwa nao wawili na hawajamtumia hatima yake itakuwaje?
 
Mbona mimi nilisaidia sana dada mmoja mpaka akagraduate, nilikuwanakesha ili nimmfanyie mambo ili afaulu. Ni kweli baadaye aligeuka tabia lakini uzuri mimi sikuwa na nia ya ile kitu ndo pona yangu.

hukumtamani labda ila nadhani ulikuwa unachapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom