Tumekuwa madaraja

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,747
Muda si mrefu napata habari. Kijana wa watu, tena graduate safi! yuko katika wakati mgumu kisaikolojia. Wasipompa nasaha vya kutosha atakuwa chapombe na asiye na mwelekeo daima. Msichana wake walianza mahusiano toka sekondari kisha binti akamtema huko huko na kumpata 'muungwana' zaidi. Wote wakaingia chuo na binti alipoona shule inakaribia kumchoka akaanza tena kumnyemelea jamaa warudiane, ikiwa ni pamoja na kumsaidia kimasomo. Jamaa baada ya kumkatalia sana akamkubalia kurudiana. Binti akawa njema kishule, ila shule ilipoisha akaanza tena makeke. Kampata wa juu zaidi ya mshkaji. Kamtosa jamaa. Jamaa anaugulia mno! Binti anatanua. Kapata kazi bomba, bwana mwenye nazo. Kijana anajuta. Alimtoa binti mbali na sasa katoswa. Anaumia. KWa nini wadada mnafanya haya? Sio mfano mmoja tu, iko mingi. Wadada wasomi mnatafuta nini maishani? Hata nyie wa kawaida pia. Kama humhitaji mwanaume jaribu kumuepuka kuliko kumtumia hivi. Hata kama unampenda na unaona utamwacha baadae, mwache sasa na uhangaike kivyako. Mnachuma lawama. Hii pia ni kwa pande zote, ila mada ni kuhusu hawa watu wawili
 
You miss or get dropped, you find another one down the road. Plenty of decent women. Huyo jamaa yako aache ujinga, kwani alishamposa huyo binti?
 
anapoteza muda wake huyo kijana.......!sisi wenzie pombe tulianza kunywa kabla ya kutoswa
 
love is blind, so they say. ishu hapa ni kwa nini hawa wadada wanayafanya haya?
 
Deme alisha jua kuwa jamaa ni **** fulani! Angechunguza mambo yaliyomsababisha atemwe kwanza asingeweza kumrudia!

Nwayz pole; mwambie ndo dunia hii; yeye anashanga kumsaidia hiyo degree yumo kak yetu hapa ametoswa baada ya miaka 20 ya ndoa!
 
Hawa wadada wanafanya hayo mambo unayoyalaani na kina nani? na allien? na nyani?

mwanaume na mwanamke ni vitu viwili tofaut japo lengo ni moja kwenye life. huna sababu ya kumtetea huyo dada. kama alijua yuko na mwanaume kwa nini achukuliwe na mwingine, tena sio mwingine bali wengine. tena wenye nazo. by nature mwanaume kazi yake ni kutafuta, sasa mwanamke kakosa utashi wa utambuzi na kuridhika? anakimbilia nini? kwani wangekichanga wasingetoka? jamaa yuko poa tu. huna sababu ya kumtetea. ana tamaa mbaya sana
 
sioni cha kulalamikia wala kulaumu hapa
ngoma droo!!!

you do us and we do you.......

nasikitika kwa wewe (mwanamke) kusema hivi. Huyo mtu wako akisikia haya si mapenzi yako kikaangoni?
 
Muda si mrefu napata habari. Kijana wa watu, tena graduate safi! yuko katika wakati mgumu kisaikolojia. Wasipompa nasaha vya kutosha atakuwa chapombe na asiye na mwelekeo daima. Msichana wake walianza mahusiano toka sekondari kisha binti akamtema huko huko na kumpata 'muungwana' zaidi. Wote wakaingia chuo na binti alipoona shule inakaribia kumchoka akaanza tena kumnyemelea jamaa warudiane, ikiwa ni pamoja na kumsaidia kimasomo. Jamaa baada ya kumkatalia sana akamkubalia kurudiana. Binti akawa njema kishule, ila shule ilipoisha akaanza tena makeke. Kampata wa juu zaidi ya mshkaji. Kamtosa jamaa. Jamaa anaugulia mno! Binti anatanua. Kapata kazi bomba, bwana mwenye nazo. Kijana anajuta. Alimtoa binti mbali na sasa katoswa. Anaumia. KWa nini wadada mnafanya haya? Sio mfano mmoja tu, iko mingi. Wadada wasomi mnatafuta nini maishani? Hata nyie wa kawaida pia. Kama humhitaji mwanaume jaribu kumuepuka kuliko kumtumia hivi. Hata kama unampenda na unaona utamwacha baadae, mwache sasa na uhangaike kivyako. Mnachuma lawama. Hii pia ni kwa pande zote, ila mada ni kuhusu hawa watu wawili

Huyo dogo kama ndio kwanza amemaliza chuo mwambie atulize akili, achape kazi, anyooshe maisha yake! Wanawake wapo wengi tu! Najua imemuuma lakini trust me that will make him even stronger when it comes to handling women and relationships!

Mwambie pombe siyo suluhisho la kutoswa na demu, it will make matters even worse halafu huyo demu ataishia kumcheka tu kwa kuwa hakuwahi kumpenda.

Tell him to keep his feet on the ground, forget and work hard to prove her wrong!
 
sioni cha kulalamikia wala kulaumu hapa
ngoma droo!!!

you do us and we do you.......
I couldn't say it better... well said bht...

sasa wanalalamika nini hapa? Actually men love bitches, bitches I mean women who treat them bad...
 
huyo si mwanamke mzuri wala haitaji kusononeka kwa ajili yake.mshauri amtoe mawazoni mungu atamsaidia apate aliye mwema.
 
Muda si mrefu napata habari. Kijana wa watu, tena graduate safi! yuko katika wakati mgumu kisaikolojia. Wasipompa nasaha vya kutosha atakuwa chapombe na asiye na mwelekeo daima. Msichana wake walianza mahusiano toka sekondari kisha binti akamtema huko huko na kumpata 'muungwana' zaidi. Wote wakaingia chuo na binti alipoona shule inakaribia kumchoka akaanza tena kumnyemelea jamaa warudiane, ikiwa ni pamoja na kumsaidia kimasomo. Jamaa baada ya kumkatalia sana akamkubalia kurudiana. Binti akawa njema kishule, ila shule ilipoisha akaanza tena makeke. Kampata wa juu zaidi ya mshkaji. Kamtosa jamaa. Jamaa anaugulia mno! Binti anatanua. Kapata kazi bomba, bwana mwenye nazo. Kijana anajuta. Alimtoa binti mbali na sasa katoswa. Anaumia. KWa nini wadada mnafanya haya? Sio mfano mmoja tu, iko mingi. Wadada wasomi mnatafuta nini maishani? Hata nyie wa kawaida pia. Kama humhitaji mwanaume jaribu kumuepuka kuliko kumtumia hivi. Hata kama unampenda na unaona utamwacha baadae, mwache sasa na uhangaike kivyako. Mnachuma lawama. Hii pia ni kwa pande zote, ila mada ni kuhusu hawa watu wawili

Hivi ukila matapishi utajilaumu ukiharisha? Alipaswa kuyamwaga hayo matapishi ******, au kuyafukia kabisa. Mshauri kuwa kosa lake ni jinsi walivyoachana mwanzoni, alipaswa kunyea kambi na kuapa kutorudi nyuma, waasingerudiana na hatimaye hayo yasingemtokea.
Cha msingi ajifunze, na ajaribu kijirefresh ili awe na "Peace of Mind".
 
love is blind, so they say. ishu hapa ni kwa nini hawa wadada wanayafanya haya?

Charity begins at home....Nitarudia tena ikiwa mtu atakutenda first time shame on him/her mara ya pili akikutenda shame on you. Maana you allowed it.

You cannot change somebody and always remember even the rain cannot wash out the spots on a leopard....

Utaumiza kichwa kujaribu kuelewa why they do that. Men and women who do that have no scruples and are amoral. Na ufahamu nafsi zao haziwasuti hata kidogo.
 
King wapo wanawake wakweli na wapo waongo... wewe tafuta vizuri tuu utapata...
a
lakini mie naswali moja kwanini wanaume cant handle pressure..? eti akiwa ana pressure kazini ana anza kuwa mlevi.. akikataliwa na mwanamke anatafuta ulevi... tuseme ndo wanaume wamekuwa dhaifu au chickens? whatever happened to real man who can handle the life and overcome all l the obstacles?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom